Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unbelievable facts

859efc8bf0e83c2fd96e7ef75a3794d1.jpg
 
NUKUU YA LEO

Kama jana ulianguka, leo simama

If you fell down yesterday, stand up today


Haya maneno yalipatwa kusemwa na Bwana Herbert George Wells, mwalimu, mwanahistoria , na mwaandishi wa Vitabu aliyeishi mwaka kati ya Sept 21 1866 hadi August 13 1946.

Hii Nukuu ilitolewa ikiwa na lengo la kuwapa watu moyo wa kutokata tamaa, kuwapa vujana moyo wa kujaribu tena kile kilichoonekana kushikana jana, kuwapa watu nafasi yaliyopita na kujaribu tena jambo..

H.G.Wells atakumbukwa pia kwa kazi zake nyingine kama The time machine, The invisible na The fisrt man on the moon..

fae00d77412532c035e83b9bc4939d2f.jpg


f28eefcef953d2a66dd9bbf6f2010534.jpg


Allways start from the ashes of yesterday's failure..

Goodmorning fam...
Asante kwa nukuu ya leo mkuu Trancsent,nimejifunza kitu ubarikiwe uwe na siku njema salaam kwa baby wako Sakayo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom