BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
H.B.D Pharell Williams1973 - Pharell Williams anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
H.B.D Pharell Williams1973 - Pharell Williams anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
JM kazingua sana janaMourinho na Fellaini ni km Mkulu na Bashite......hata Fella afanye madudu gani mechi inayofuata lazima acheze tu lakini kina Mata wakifanya kosa dogo tu bemchi linawahusu
.........
Asante mkuu mwekahazina kwa kupitia magazeti na nakuu bila kusahau historiaHabari ya asubuhi ndugu Kapuku
Ni siku nyingine tena Muumba ametupatia ili tupate muda wa kujiuliza ni nini tunacho mpaka sasa tunatumia pumzi yake pasi na malipo.
Natoa shukrani zangu kwa Katibu lee empire kwa magazeti na unbelievable facts
Pia kwa le dictator aliyetoka kunusurika karibuni kupinduliwa Mr Mussolin5 kwa historia murua.
Heko kwa Transcend kwa new segment ya nukuu ya siku naona hakuna haja ya kupitia mwananchi ili tupate nukuu mbali mbali.
Mwisho napenda kuvaa viatu vipya, nimepewa na katibu wangu hapa, kutakuwa na new segment ya ratiba na matokeo ya mechi za mpira wa miguu katika nyanja ya kitaifa na kimataifa bila kusahau ligi kubwa barani ulaya.
Karibuni.
Baba mchungaji atafurahi sana kuona salamu zako asante mbarikiweAsante mama mchungaji..
Msalimie baba mchungaji.
Sakayo mzima ! Anawasalimia
Hapo ndo huwa nashindwa kumuelewa JMMourinho na Fellaini ni km Mkulu na Bashite......hata Fella afanye madudu gani mechi inayofuata lazima acheze tu lakini kina Mata wakifanya kosa dogo tu bemchi linawahusu
.........
Namuona Bashite front page Uhuru pekeeWakuu kumekuchaa salama tumshukuru aliye juu kwa hiloo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimemiss Shunie kwakweli

Ahaaaaaah nimesikia nyie wanaasenaliii watu wavumilivu kuliko wote dunianinatamani na timu yangu asanali nao wakaze kamgomo baridi...tuendelee kupoteza ili bwana yule aombe poo.... bila hivyo haondoki.....
mmaabaaakeee...!!!.....![]()
...
Ahaaaaaaah ataandikwa na lipi sasaNamuona Bashite front page Uhuru pekee
![]()
![]()
![]()
......
Asante Lee ubarikiweKwenu nyote wakùu
Nitangulize shukrani za dhati kwa mkuu Bitoz pamoja na makapuku wote kwa yote yaliongelewa usiku sikuwa available mda muafaka ila nimepitia yote yaliyosemwa ...shukrani
ni kweli mkuu bitozi wale wengi wakongwe wa kapuku wamekuachia kazi kubwa make wengi hawapo active kama mwanzoni japo huwa unasema anatoka mtu anaingia mtu maisha yanaendelea
-Naunga mkono kile kilichosemwa kuwa kapuku imekosa mvuto kama ilivyokuwa mwanzo make mambo mengi tunayakosa (segment zote muhimu)
Ila ndo maana mnaona tunaibua story tofauti hasa Mimi na transcend na wapendwa wetu zikiwemo kutibuana ila lengo ni kufanya forum yetu iwe active ...ndo maana 1k kwa Siku inakuwa simple sana
wengi wanadai mda ni kikwazo ila mm siungi mkono make ukijipanga na ukiwa na kitu chako kichwani ukitaka tukijue kwa kutushirikisha inawezekana ata kwa mda mfinyu sote tunabanwa ila tunajitahidi
Kuhusu swala la kuvunja moyo hilo linakatisha tamaa kiukweli na mm huwa naamini wachache wanayapitia magazeti make mara chache kuona mtu ameongezea minofu kwenye habari ila sitokata tamaa ndo maana nkaongeza UNBELIEVABLE FACTS...japo haijawaingia kichwani
My Note:
Tunaweza tukaifanya kapuku ikawa chanzo cha habari zote muhimu ata kwa ufupo..naamini wapo wengi wenye mambo mengi kichwani TUKIAMUA TUNAWEZA
#2 Tudumishe ushirikiano wetu hasa tunavoanza mwaka wetu mpya kwa kufanya kitu kwa moyo wote mfano mzee wa magazeti afanye ...historia afanyee ..je wajua isikose ,nukuu ya Leo ishapata tiba na yale yaliyoorozeshwa na rais bitoz tukiamua yanarud
Tunamis vitu kama story za hapa na pale ili kufanya jukwaa letu liwe active mda wote
utani ni jadi yetu tusisahau hilo
Mengi tutazidi kujulishana
Shukrani wakuu
Pamoja mkuu..Habari ya asubuhi ndugu Kapuku
Ni siku nyingine tena Muumba ametupatia ili tupate muda wa kujiuliza ni nini tunacho mpaka sasa tunatumia pumzi yake pasi na malipo.
Natoa shukrani zangu kwa Katibu lee empire kwa magazeti na unbelievable facts
Pia kwa le dictator aliyetoka kunusurika karibuni kupinduliwa Mr Mussolin5 kwa historia murua.
Heko kwa Transcend kwa new segment ya nukuu ya siku naona hakuna haja ya kupitia mwananchi ili tupate nukuu mbali mbali.
Mwisho napenda kuvaa viatu vipya, nimepewa na katibu wangu hapa, kutakuwa na new segment ya ratiba na matokeo ya mechi za mpira wa miguu katika nyanja ya kitaifa na kimataifa bila kusahau ligi kubwa barani ulaya.
Karibuni.
Kwelì mkuuPamoja mkuu..
Sasa hivi Lazima jf waelewe Makupuku...
Hii tunaita
The Revival of Makapuku forum
NUKUU YA LEO
Kama jana ulianguka, leo simama
If you fell down yesterday, stand up today
Haya maneno yalipatwa kusemwa na Bwana Herbert George Wells, mwalimu, mwanahistoria , na mwaandishi wa Vitabu aliyeishi mwaka kati ya Sept 21 1866 hadi August 13 1946.
Hii Nukuu ilitolewa ikiwa na lengo la kuwapa watu moyo wa kutokata tamaa, kuwapa vujana moyo wa kujaribu tena kile kilichoonekana kushikana jana, kuwapa watu nafasi yaliyopita na kujaribu tena jambo..
H.G.Wells atakumbukwa pia kwa kazi zake nyingine kama The time machine, The invisible na The fisrt man on the moon..
![]()
![]()
Allways start from the ashes of yesterday's failure..
Goodmorning fam...
Kila la kheri katika game yenu ya leonatamani na timu yangu asanali nao wakaze kamgomo baridi...tuendelee kupoteza ili bwana yule aombe poo.... bila hivyo haondoki.....
mmaabaaakeee...!!!.....![]()
...
Asante mkuu mwekahazina kwa kupitia magazeti na nakuu bila kusahau historia
Tunakutegemea kwa segment yakoo
Mwekahazina umetishaa hayo ndo mamboRatiba ya mechi za leo tarehe 5/4/2017 ni kama ifuatavyo
EPL
![]()
Bundesliga
![]()
Copa Italia
![]()
LaLiga
![]()
Kenya Premium league
![]()
League 1
![]()
Uganda Premium league
![]()
Anapigwa leoKila la kheri katika game yenu ya leo
Itakuwa Uhuru publisher wao hawakufikia lile azimio laoNamuona Bashite front page Uhuru pekee
![]()
![]()
![]()
......