Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,384
- 110,094
Jukwaa la wakubwa napitaga tu ndio maana hakuna comments yangu...mmu hua naenda kuchekesha watu tu.na jukwaa la wakubwa kule unakuja kuvuruga watu na mmu je
Jukwaa la wakubwa napitaga tu ndio maana hakuna comments yangu...mmu hua naenda kuchekesha watu tu.na jukwaa la wakubwa kule unakuja kuvuruga watu na mmu je
Wee jamaa kumbe longolongo.Sio kweli mm mara nyingi nipo intelligence na chitchat pengine napita kuvuruga watu.
Kule kunahitaji watu matured, kama ni under age usiende Huko.Jukwaa la wakubwa napitaga tu ndio maana hakuna comments yangu...mmu hua naenda kuchekesha watu tu.
Huyu jamaa muongo kweli.na jukwaa la wakubwa kule unakuja kuvuruga watu na mmu je
Habari yakowMukongo
Kwanini bro.Wee jamaa kumbe longolongo.
Salama mkuuHabari yakow
There is a vacancy[emoji1]kazi ipo
Chaplin lala[emoji12]Salama mkuu
Naelekea mkeshaniChaplin lala[emoji12]
Thanks Chap!Tupate kidogo matokeo ya mechi zilizochezwa tarehe 4/4/2017
EPL
![]()
Bundesliga
![]()
Copa Italian
![]()
LaLiga
![]()
Wea?Naelekea mkeshani
Basi mwororoh
[emoji120]Neno la kutafakari kabla ya kulala
Linatoka kwa Luka 4.18
Luke 4.18
![]()
![]()
USIKU MWEMA MAKAPUKU WOTE
Upendo wa Mungu baba ukakae nasi sote Amen.