BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Karibu sanaAmen
. Nawe pia mama mchungaji

Karibu sanaAmen
. Nawe pia mama mchungaji

Ubarikiwe mkuuWanafamilia Muwe na usiku tulivu, Mungu wangu zaidi kuwapigania
Tunaelewa kinachoendelea mamaHahahaha mweh!
ni kweli mkuu bitozi wale wengi wakongwe wa kapuku wamekuachia kazi kubwa make wengi hawapo active kama mwanzoni japo huwa unasema anatoka mtu anaingia mtu maisha yanaendelea
Naunga mkono kile kilichosemwa kuwa kapuku imekosa mvuto kama ilivyokuwa mwanzo make mambo mengi tunayakosa (segment zote muhimu)
wengi wanadai mda ni kikwazo ila mm siungi mkono make ukijipanga na ukiwa na kitu chako kichwani ukitaka tukijue kwa kutushirikisha inawezekana ata kwa mda mfinyu sote tunabanwa ila tunajitahidi
Kuhusu swala la kuvunja moyo hilo linakatisha tamaa kiukweli na mm huwa naamini wachache wanayapitia magazeti make mara chache kuona mtu ameongezea minofu kwenye habari ila sitokata tamaa ndo maana nkaongeza UNBELIEVABLE FACTS...japo haijawaingia kichwani
utani ni jadi yetu tusisahau hilo Gudi moningi saa umeamkaje?ubarikiwe sanaGudi moningi familia
Unafatilia netball ya wapi???Sijui kwanini kurasa za michezo hazinivutii wiki hii
FYI, mimi ni shabiki wa Simba na Chelsea, ila siku hizi napenda zaidi Netball

Matokeo ya EPL jana
![]()
Hawa Leicester city wanachokifanya ndicho kinachomshangaza profesa Claudio R...kweli wameamua na timu zishaanza kuogopa kukutana na fox hawa
Alichokuwa hakiamini Rojo ndicho kilichomshangaza Jagielka....... Aina na ya imani ya Rojo ni beki kwa beki kati yake na Jagielka ila namna Jagielka alivyoituni akili yake ishirikiane na mwili ndivyo walivyoendelea kukaribia katika record nyingine ya Ronald Koleman ndani ya OT.
Namna united wanavyocheza ndivyo united wanavyofeli..... Timu inakosa flow nzuri kuanzia katikati ya uwanja mpaka anapocheza Zlatan..... Mourinho vipi tuendelee kuandika au Bado unasoma...? Maana kilichomisi kwenye hii timu yako ni chemistry ili wale wachezaji waungane.....
Romelo Lukaku bhn kama anafinya yeye anapiga.... Hizi timu kubwa kazishindwa kabisa.
Usisahau huu Msimu ni wa lawama....
Manchester united 1-1Everton

Inshort hupati mkuuHahahaaa habari za asubuhi wakuu, akili yangu ipo kupata bibi tu
Wapendwa makapuku naamini mmeamka salama ,namshukuru Mungu nimeamshwa salama nawatakia siku njema yenye baraka tele wagonjwa poleni,na wenye changamoto mbalimbali msikate tamaa Mungu ataingilia kati,wafiwa Mungu awafariji,watu wote Mungu awatangulie katika kila jambo kazi zenu zikapate baraka na mafanikio mtangulizeni Mungu katika kila jambo..mbarikiwe sana sana.Amen
Amen.....ahsante Mama

Good morning mkuu le mushengaGudi moningi familia
Tumeshaamka ustaadhHahahahha kipaza sauti kimekufa, napita kila nyumba kama wakati wa daku na mtaamka wote
Ya koromijeeUnafatilia netball ya wapi???![]()
Sitakwambia kwa nini, maana mijadala ya kule huwa inaishia kule. Kuhusu nimekuwekea link za kutosha kwenye uzi wako, nenda kaosheoshe macho.Kwanini bro.
Harmorapa tena?Udaku ...![]()
Pamojaa mkuulee aksante kwa zageti

Asante mama mchungaji..Asante kwa nukuu ya leo mkuu Trancsent,nimejifunza kitu ubarikiwe uwe na siku njemasalaam kwa baby wako Sakayo mkuu