Makapuku Forum

Makapuku Forum

8893fd1f686bda0886db23abacdd954e.jpg
 
Wapendwa Makapuku namshukuru Mungu kutuamsha salama na kutufikisha umbali huu,tunapaswa kumshukuru Mungu kwa yote anayotutendea maana anatupenda anatutunza na hajatuaacha katika mapito yote wako wengi wanatamani kuwa kama sisi hawajaweza,wengine hawajaamka kabisa,wengine wako vitandani wanaugulia na hata wengine hawana tumaini tena tumuombe Mungu atusaidie kuwa wavumilivu tunapopitia changamoto mbalimbali maana ndio ubinadamu,naomba Amani itawale ,upendo na mshikamano ....tufanye kazi kwa bidii huku tukimshirikisha Mungu katika kila jambo ..nawatakia jumanne njema ndoto zetu zikafanikiwe..nawapenda sana sana muwe na kila sababu ya kufurahia maisha na zawadi hii adimu ya uhai tuliopewa na baraka zote..Amen
Daaah isee nimenalikiwa
 
shedede jamaan kawa adimu soudy umemissika eb fanya ukuje utusalimie
Shemu hiki ndio kiapo changu mods pamoja na makapuku watakuwa mashaidi

Mimi soudy brown au mzizi mkavu nitakuwa mwanakapuku haijarishi sina manzi au rahaaa na shunie,sakayo,ukhuty wote ni mashemeji zangu nitawaeshimu sana kina mondray,lee empire,transcend

Nimeapa nikiwa na akil timamu kabisa na kila asubuhi,mchana na hata jioni lazima nipite humu nisalimie

My take:shemela unajua ubusy ila nipo

Conclusion..

.....kapuku live long
Jamani kama ipo kifunny unarususiwa kucheka ata kimya kimya

Kapuku oyeeeee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom