Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anakula vyombo siohahahhh leo tunakesha lee kaenda club
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anakula vyombo siohahahhh leo tunakesha lee kaenda club
Nabuni nitakuwa natoa fiction story za hapa na pale[emoji4] [emoji4] [emoji4]Mkuu ipo hivi mleta kipindi mfano magazeti anapoona hatumpi respect inamvunja moyo japo hawezi kusema..... Hata ww Unaweza kuyarudisha hayo maujanja kwa kubuni kitu na siyo kutegemea fulani ndo afanye
.........
Mi nimeongea tu kwavile mtu ametaka kuelezwa changamoto hivyo nimeamua kusema ukweliinabidi tubadilike kwakweli Bitoz umeongea ukweli
Poa haina nomaNabuni nitakuwa natoa fiction story za hapa na pale[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Yaaah mkuu iyo ni kweli watu kama wakina shunie uwa nakutananao mmu siwapi ata mambo huku free sana tunasalimiana vzr tu kule mmu ukisema mambo umefeli sana wanajua unanyapia nyapia.Mi nimeongea tu kwavile mtu ametaka kuelezwa changamoto hivyo nimeamua kusema ukweli
Hata watu wakiamua kutobadilika ni uamuzi wao maana siwezi kupata hasara maana km unavyojua kila mtu ana maisha yake ila thread imetukutanisha pamoja na kuwa marafiki/kuzoeana
Hivyo ni hiyari siyo lazima
.......
[emoji122][emoji122][emoji122]inabidi tubadilike kwakweli Bitoz umeongea ukweli
Nipo jooh naona siku nyingi upo kimya.Kisheti upo...
Kuna ya pangaboi, TRL na mabasiOrodhesha nione mkuu
PointNilisikia kua tarehe 9 Kapuku inatimiza mwaka mmoja. Baasi naombeni mtuandalie Biography fupi kuhusu kapuku ikiwemo na..
*majina yote ya members kutoka kipindi imeanzishwa.
*Changamoto
*mafanikio n.k
Na tupo ambao uswahiba wetu umevuka mipaka hadi tunafahamiana kabisa na kuwasiliana nje ya JFYaaah mkuu iyo ni kweli watu kama wakina shunie uwa nakutananao mmu siwapi ata mambo huku free sana tunasalimiana vzr tu kule mmu ukisema mambo umefeli sana wanajua unanyapia nyapia.
Mimi naomba kwanzia leo nichukue jukumu la "NUKUU YA LEO "Mkuu ipo hivi mleta kipindi mfano magazeti anapoona hatumpi respect inamvunja moyo japo hawezi kusema..... Hata ww Unaweza kuyarudisha hayo maujanja kwa kubuni kitu na siyo kutegemea fulani ndo afanye
.........
Nadhani sababu ya majukwaa tunayokutanaNyagei sijui kwa nn nikiona comments zako nacheka [emoji23]
Mukongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Majukumu tuu jooh!Nipo jooh naona siku nyingi upo kimya.
[emoji186]baby wangu uko ap jamaan nimekumiss tu sijui ndio akili za jana usiku [emoji134] ila Mungu anakuona ujue
kwa nn unapendaga kunivuruga lkn
Same to me.Majukumu tuu jooh!
Sasa hivi nimetingwa kidogo nikiingia jf nakuja makupuku tuu..! Kule kwingine sijui hata kinaendelea kitu gani
[emoji241] [emoji241] [emoji241]Sio Noah gari [emoji23][emoji23] Noah mnyama
Baba mchungaji