Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shemu hiki ndio kiapo changu mods pamoja na makapuku watakuwa mashaidi

Mimi soudy brown au mzizi mkavu nitakuwa mwanakapuku haijarishi sina manzi au rahaaa na shunie,sakayo,ukhuty wote ni mashemeji zangu nitawaeshimu sana kina mondray,lee empire,transcend

Nimeapa nikiwa na akil timamu kabisa na kila asubuhi,mchana na hata jioni lazima nipite humu nisalimie

My take:shemela unajua ubusy ila nipo

Conclusion..

.....kapuku live long
Jamani kama ipo kifunny unarususiwa kucheka ata kimya kimya

Kapuku oyeeeee.
 
Nilisikia kua tarehe 9 Kapuku inatimiza mwaka mmoja. Baasi naombeni mtuandalie Biography fupi kuhusu kapuku ikiwemo na..
*majina yote ya members kutoka kipindi imeanzishwa.
*Changamoto
*mafanikio n.k
Ngoja niongee kidogo kwenye changamoto maana trh 9 bado

Changamoto kubwa ni "kujisahau" kwa baadhi ya members wa mwanzo pamoja na wale wa after 6 months na kuendelea.......thread ilianza km movement ya kupinga manyanyaso JF kutoka kwa wakomgwe zen ikaja kuwa thread inayohusu mambo mbalimbali(vipindi mbalimbali) mfano,
Top 10
Je Wajua
Kapuku Songs
Hadithi
Old is gold
Nukuu ya leo
Update za mpira
Magazeti asubuhi
Leo ktk historia
Fix za Bitoz n.k
Hapo uzi ukawa moto na unafuatiliwa hadi na wakongwe maana nilikuwa na vitu kibao vya kijanja....kitendo cha baadhi ya members kujisahau pamoja na kujiona wapo juu na kuanza mizinguo kikafanya vipindi vipungue(now vipo viwili tu vya kueleweka ambavyo ni magazeti tu na historia) hivyo kufanya thread ipoteze mvuto/kufuatiliwa na kisha kutawaliwa na "stori zisizoisha asubuhi hadi usiku".....
Kiukweli bila kupepesa macho thread imepoteza mvuto
...............................................
 
Ngoja niongee kidogo kwenye changamoto maana trh 9 bado

Changamoto kubwa ni "kujisahau" kwa baadhi ya members wa mwanzo pamoja na wale wa after 6 months na kuendelea.......thread ilianza km movement ya kupinga manyanyaso JF kutoka kwa wakomgwe zen ikaja kuwa thread inayohusu mambo mbalimbali(vipindi mbalimbali) mfano,
Top 10
Je Wajua
Kapuku Songs
Hadithi
Old is gold
Nukuu ya leo
Update za mpira
Magazeti asubuhi
Leo ktk historia
Fix za Bitoz n.k
Hapo uzi ukawa moto na unafuatiliwa hadi na wakongwe maana nilikuwa na vitu kibao vya kijanja....kitendo cha baadhi ya member kujisahau pamoja na kujiona wapo juu na kuanza mizinguo kikafanya vipindi vipunguo(now vipo viwili tu vya kueleweka ambavyo ni magazeti tu na historia) hivyo kufanya thread ipoteze mvuto/kufuatiliwa na kisha kutawaliwa na "stori zisizoisha asubuhi hadi usiku"..... Kiukweli bila kupepesa macho thread inapoteza mvuto
...............................................
Nini kifanyike?
 
Shemu hiki ndio kiapo changu mods pamoja na makapuku watakuwa mashaidi

Mimi soudy brown au mzizi mkavu nitakuwa mwanakapuku haijarishi sina manzi au rahaaa na shunie,sakayo,ukhuty wote ni mashemeji zangu nitawaeshimu sana kina mondray,lee empire,transcend

Nimeapa nikiwa na akil timamu kabisa na kila asubuhi,mchana na hata jioni lazima nipite humu nisalimie

My take:shemela unajua ubusy ila nipo

Conclusion..

.....kapuku live long
Jamani kama ipo kifunny unarususiwa kucheka ata kimya kimya

Kapuku oyeeeee.
kapuku oyeeeeeee ilikua slogan yako ulivyokua mgeni lee sijui alikua anakujibu nn
 
Ngoja niongee kidogo kwenye changamoto maana trh 9 bado

Changamoto kubwa ni "kujisahau" kwa baadhi ya members wa mwanzo pamoja na wale wa after 6 months na kuendelea.......thread ilianza km movement ya kupinga manyanyaso JF kutoka kwa wakomgwe zen ikaja kuwa thread inayohusu mambo mbalimbali(vipindi mbalimbali) mfano,
Top 10
Je Wajua
Kapuku Songs
Hadithi
Old is gold
Nukuu ya leo
Update za mpira
Magazeti asubuhi
Leo ktk historia
Fix za Bitoz n.k
Hapo uzi ukawa moto na unafuatiliwa hadi na wakongwe maana nilikuwa na vitu kibao vya kijanja....kitendo cha baadhi ya member kujisahau pamoja na kujiona wapo juu na kuanza mizinguo kikafanya vipindi vipunguo(now vipo viwili tu vya kueleweka ambavyo ni magazeti tu na historia) hivyo kufanya thread ipoteze mvuto/kufuatiliwa na kisha kutawaliwa na "stori zisizoisha asubuhi hadi usiku".....
Kiukweli bila kupepesa macho thread imepoteza mvuto
...............................................
Sasa kwanini yale maujuz yasirudishwe ili kiwavutia watu wengi but mimi naona tukiwa hivi ni salama salmini kuliko kuwa wengi alafu ukikosa tu kuwa online dakika mbili reply 10000 mi naona nijukwaa linalojari sanaaa like na nini

Kapuku oyeeeee
 
inabidi tubadilike kwakweli Bitoz umeongea ukweli
 
Sasa kwanini yale maujuz yasirudishwe ili kiwavutia watu wengi but mimi naona tukiwa hivi ni salama salmini kuliko kuwa wengi alafu ukikosa tu kuwa online dakika mbili reply 10000 mi naona nijukwaa linalojari sanaaa like na nini

Kapuku oyeeeee
Mkuu ipo hivi mleta kipindi mfano magazeti anapoona hatumpi respect inamvunja moyo japo hawezi kusema..... Hata ww Unaweza kuyarudisha hayo maujanja kwa kubuni kitu na siyo kutegemea fulani ndo afanye
.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom