Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Karibuu
aiseeeLee empire nataka kukujua
Jaza hii form
Wewe ni nani humu makapuku..........
Unaumri gani..........
Ke/me..........
Hao waache huko[emoji52]Ngoja niite warembo wa mmu nione kama watatulia
Afu mkuu kwanini si wengine hatuoni picha mkuu afu nitathink vip wakati hakuna ninachokielewaPunguza mbwembwe
Think before Asking
Wataweka picha utaona
Hongereni Shunie and Lee EmpireMkuuu Leo kapuku tumeamua
Sema shunie 146
Lee wa shunie 147
[emoji27]Mapenzi haya jamani[emoji22]
[emoji23][emoji23]kiboko yenuHao waache huko[emoji52]
Kweli mkuu mm nakumbuka ilinichukua wiki 6-7 kuzoea na kuanza kupost humuNishamwambia mapema
Hatukuanza hivyo sisi tulianza taratibu
nan malkia unampa maujanjaKwanza shunie hana mtu....ngoja ntakupa maujanja ya kumpata pm
Ooosh!mfano mm tangu saa 11 nilikuwa off sasa ndo naingia hapa nimekuta posts 191 acha tu niskip
Mgeni, ila kaja kwa pupaanan malkia unampa maujanja
Kasiii yako inatishaaLee empire nataka kukujua
Jaza hii form
Wewe ni nani humu makapuku..........
Unaumri gani..........
Ke/me..........
[emoji38] ngeweAfu mkuu kwanini si wengine hatuoni picha mkuu afu nitathink vip wakati hakuna ninachokielewa
miss you tooKaribu Nyagei we missed you
Eee kumbe noma kiasi hiki
Kakosa speed gavanaKweli mkuu mm nakumbuka ilinichukua wiki 6-7 kuzoea na kuanza kupost humu
Who???[emoji23][emoji23]kiboko yenu
MmuWho???
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Ooosh!
Umeharibu mkuu...hapo katika kuna mrembo alikuwa anakuulizia. [emoji23][emoji23][emoji23]