Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Ukiwapata watatu utakomaaPunguza mbwembwe
Think before Asking
Wataweka picha utaona
Hata mimi naona hilo likitokea.Ijumaa tutakuwa 150k
Njema dear karibuZa jioni humu
Hongereni Shunie and Lee Empire

Mkuu mbona unanitishiaKasiii yako inatishaa
Mkuu ipo kamati itakayokuuliza ayo maswali sio wewe ujiulizee
Wanakatiii njooo

How?Hahahaaa!Lee empire nataka kukujua
Jaza hii form
Wewe ni nani humu makapuku..........
Unaumri gani..........
Ke/me..........
Asante mama mchuchuNjema dear karibu
Nani huyoOoosh!
Umeharibu mkuu...hapo katika kuna mrembo alikuwa anakuulizia.![]()
Mmi ndo nina ufunguo wa pm yakeKwanza shunie hana mtu....ngoja ntakupa maujanja ya kumpata pm
DuuuhTena ubora wenye ubora![]()
![]()
ndio aje pm kwangu au sijaelewaMgeni, ila kaja kwa pupaa
Mkuu mbona mi nimewazea sana humu kama nawajua mwisho mniroge bureKakosa speed gavana
Mm mwenyewe ilinichukua muda kuwazoea ninyi
Umeonaeeh!!!Ukiwapata watatu utakomaa
Si ignore ina play partUkiwapata watatu utakomaa
huku kila comment ina like kaa nasi usitokeSawa mkuu mi mgeni humu nimevutika na hako kaneno makapuku forum
hahahhahaUkiwapata watatu utakomaa
Sipajuiiiilee eb siku twende mbudya sema naogopa lkn vile viboti