Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kasi ya huu uzi inanitisha.

Asubuhi ilikuwa nampongeza Shunie kwa 146k saa hizi ushafika 147k.

Kama ni gari basi Ngorika ya kipindi kile kabla ya tochi. Au Allys Sports Bus, Dar MWANZA spidi yake sio ya kitoto.

Mimi naeasubiria nitusue 150k ili nikae kwenye vitabu vya kumbukumbu.
Mkuuu Leo kapuku tumeamua


Sema shunie 146

Lee wa shunie 147
 
JE WAJUA??
Leonardo da vinci alizoea kununua wanyama sokoni ili awaache huru
203bfeb0a4bf612fb19d83f566ba964d.jpg
8a8999b51e002faa1d7ce35422329c0e.jpg
fee370adb86b93f0111f9620403ac05f.jpg
Pia alipendelea kuwachora
....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom