Makapuku Forum

Makapuku Forum

Point of correction mkuu

Kwa kutumia reference yako amphibian na reptiles wana chemba tatu za moyo means 2 atria na 1 ventricle na sio moja moja kama ulivosema ,tunakumbushana mkuu

Nikitumia reference yako tena fish especially lung fish ndo tunasema wana single circulation manake damu inapita tu that's y wana chemba moja moja ila narudia ni simple fish tukizama kwenye evolutionary

Na kuongezea baadhi ya reptile wana chemba zaidi ya 3 manake 4 kama binadamu hasa wale walioadvance kwenda mammals

Hummingbird ni aves kama birds wengine ,na birds kikawaida kama mamals wana chemba 4 za moyo ikimaanisha atria 2 na ventricles 2 mkuu nahis apo umekumbuka

Ventricle ya kulia inasukuma damu kwenye mapafu ya kushoto kwenda sehemu nyingine za mwili
26cffb8a1cf542b3a41dbe2ee51d02b0.jpg




Karibu kapuku darasa huru
Thankx mkuu,
Chukua like babaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom