Makapuku Forum

Makapuku Forum

d26d5970056330417f5bb556890e6569.jpg
Sure
 
Wewe Shunie una furaha?

Tatizo la Wabongo ni umbea na roho mbaya. Huwezi kushinda kwa Mange Kimambi au kwa Shigongo ukimeza sumu halafu eti uje uwe na furaha. No way. Kuepuka tu mambo yasiyo na faida katika personal level kungeweza kuondoa ukungu na sumu katika mioyo ya wengi.

Halafu roho mbaya tumezidi siye Wabongo. Hata bila sababu. Juzi hapa namuomba ushauri rafiki yangu kuhusu uendeshaji wa vituo vya mafuta (yeye anavyo na mimi ndo nimeanza). Badala ya kunishauri yeye ananikatisha tamaa na kuniomba niachane kabisa na biashara hiyo. Wakati huo huo yeye ndo biashara iliyomtajirisha.

Note: Shunie wewe rukhsa kuweka mafuta bure katika kituo changu. Haki ya nani hata uje na tanker ni sawa tu. Ila Lee akikatiza ni lazima apandishiwe bei potelea mbali hata akashtaki EWURA!!!
hizi silaha si za nchi hii!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom