Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
mfano mm tangu saa 11 nilikuwa off sasa ndo naingia hapa nimekuta posts 191 acha tu niskip

mfano mm tangu saa 11 nilikuwa off sasa ndo naingia hapa nimekuta posts 191 acha tu niskip

Mkuu nimelike sana na sana na sana au hampati notificationHapa toa like pata like ndo mwendo wetu
NamsomaaPunguza speed mkuu bado mgeni humu ujue. Utapata ajali bure
Sasa mkuu nimekutana nayo nkaona sio dhambi tukiwekana sawa kidogo.Lee huyu Jamaa ka-quote post kiporo
JE WAJUA??
Kuna idadi ya miili 200 ya watu katika mlima Everest. Ambayo hutumika kama alama (landmark )ili kufika kileleni
Ijumaa tutakuwa 150kKasi ya huu uzi inanitisha.
Asubuhi ilikuwa nampongeza Shunie kwa 146k saa hizi ushafika 147k.
Kama ni gari basi Ngorika ya kipindi kile kabla ya tochi. Au Allys Sports Bus, Dar MWANZA spidi yake sio ya kitoto.
Mimi naeasubiria nitusue 150k ili nikae kwenye vitabu vya kumbukumbu.
Nilikuwa nakupa A B C na kwa mgeni mwingine BablaiMkuu nimelike sana na sana na sana au hampati notification
Good!Nilifunga shemela mda si mrefu nimetoka kula
Mkuu punguza wengeSawa mkuu makapuku oyeeeeee
Jamani nataka kujua kwanza huku kwenye ukapuku kuna modsKama ni ile pair ninayoijua mimi hakuna kitu. Empire ile lazima iparaganyike. Ma-Empire makubwa ya akina Alexander the Great yalidondoka sembuse hii? The Empire will fall and I will be the main cause...AND I WILL BE PROUD !!!
niambieni msinifiche nna ubuyuFacts 100%Ukipuuzwa na makapuku utaondoka tu. Jifunze protokali za huku. Ndo maana tukaambiwa ukienda Roma, fanya kama Waroma wanavyofanya. Siyo unaingia na mikwara na maneno meengi yasiyo na tija. Karibu!
Bora wangekuwa nyuki tupate asaliJE WAJUA??
Kuna mchwa milioni 1 kwa kila mtu hapa duniani
Kaushaaa

Le mushengaz unanioneaalee empire ukudje
Duh!!! Siendi tena!!!
Asante mkuu pamojaHamuna ni tahadhari tu kijana!!! KALIBU![]()
![]()