Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hata kama ni mafukara, tatizo liko wapi? Mafukara hawana haki ya kuwa na jukwaa lao na kujadili ufukara wao?

Angalizo: Kuna makapuku mamilionea (in US $s) na wasomi wenye PhD zao wako huku wanapunguza msongo unaoweza kuletwa na habari zisizokoma kumhusu Bashite, Koromije, Gwajiii na "upuuzi" mwingine usio na tija!
Uko sahihi mkuu
 
Kasi ya huu uzi inanitisha.

Asubuhi ilikuwa nampongeza Shunie kwa 146k saa hizi ushafika 147k.

Kama ni gari basi Ngorika ya kipindi kile kabla ya tochi. Au Allyd Sports Bus, Dar MWANZA spidi yake sio ya kitoto.

Mimi naeasubiria nitusue 150k ili nikae kwenye vitabu vya kumbukumbu.
Kweli mkuu tunakimbiza vibaya.
BUT nakuomba ulipie Tangazo lako hilo la mabasi ya Allys sports
 
JE WAJUA??
Mkunga umeme (An electric eel) inatoa umeme wenye kutosha kuwasha magari 50
27a57ae6c85ba9ba75e512a523f2191c.jpg
729fd2b460767b75a5ca55e10bd0021d.jpg
28d0a9adb12e26fcf7029d402c9cf668.jpg
 
Hata kama ni mafukara, tatizo liko wapi? Mafukara hawana haki ya kuwa na jukwaa lao na kujadili ufukara wao?

Angalizo: Kuna makapuku mamilionea (in US $s) na wasomi wenye PhD zao wako huku wanapunguza msongo unaoweza kuletwa na habari zisizokoma kumhusu Bashite, Koromije, Gwajiii na "upuuzi" mwingine usio na tija!
Baelezee
 
Makapuku oyeee

Ukweli nikwamba kapuku yoyote anaruhusiwa kiingia jukwaa hili la makapuku forums[b/] hivo basi kama we ni tajir ulipo ingilia ndio utakapo tokea.

Makapuku oyeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom