Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi ni mpigapicha wa Dikteta Mussolin05 kwenye leo ktk historia tu ndo kazi yangu na huwa naifanya kwa moyo mmoja....
nafikiri ww na Lee mna makubaliano yenu pia hivyo sihusiki nilichofanya ni kuokoa jahazi tu sababu niliona km vile anazuga eti picha zimegoma
Nafikiri umenielewa
. ........
Sio kuzuga mkuu network shida inaoad zaid ya dk 7
 
Point of correction japo uko sahihi

Hummingbird ni aves kama birds wengine ,na birds kikawaida kama mamals wana chemba 4 za moyo ikimaanisha atria 2 na ventricles 2 mkuu nahis apo umekumbuka

Ventricle ya kulia inasukuma damu kwenye mapafu ya kushoto kwenda sehemu nyingine za mwili
26cffb8a1cf542b3a41dbe2ee51d02b0.jpg
Lee huyu Jamaa ka-quote post kiporo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom