Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Drogba![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Abgekuwa mzungu angeimbwa sana
Anachoniboa ni kuweka karikiti km demu
....

Drogba![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Abgekuwa mzungu angeimbwa sana
Anachoniboa ni kuweka karikiti km demu
....

1988 - Fabio Coentrao anazaliwa.
Beki wa kushoto wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno.
Amekuwa akisugulishwa benchi na beki mwenzie Marcelo.
Sizonje kawekeza kwa Polisi ili wapambane na wapinzani na raiaMwamunyange jana wakati anaagwa ametoa ya moyoni, kuwa bajeti ndogo inasababisha jeshi kupiga hatua zaidi.
hahahhhhLimetushinda
![]()
![]()
![]()
....
MorningMorning makapukuu
Uko sahihi mkuu huyu mama ni zao la Chuo Kikuu cha Havard.![]()
![]()
![]()
Hajapitia Harvard? Maana huzalisha wanasheria mahiri ht Change masikia kasoma halo ila taaluma yako kaiweka mfukoni anafanya mambo kisiasa
.......
Alienda Monaco kwa mkopo wa miaka miwili lakini akaishia kukaa benchi.![]()
![]()
![]()
![]()
Si asepe
....
Wachezaji mastaa wana sautiAlienda Monaco kwa mkopo wa miaka miwili lakini akaishia kukaa benchi.
Wanasema urafiki wake wa karibu na CR7 ndio umesababisha mpaka leo aendelee kuvumiliwa pale Madrid.
Asante kwa magazeti uwe Na wakati mwema UbarikiweTuwe na mapumziko mema ya wiki
Hope you are fine have a wonderful Saturday,BlessingsGoodmorning family
Yaaaani nimekumis pia nilikua kwa church toka alfajiri ndio narudi..mafungo..have a wonderful timeBlessedHope nimekumiiiiiiiisiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Asante sana Mkuu ubarikiweLeo Katika Historia:
Niwatakie wikend njema.
HakikaAhaaaaaah hili udaku litaletaaa shidaa ...baba mchungaji anamchunga mama mchungaji vyemaa
Poa sana mkuu ila wew una swaga kama za hamorapa tisha sana![]()
![]()
![]()
![]()
Ila ukinywea uji itakuwaa poaa....
Uko poa lakini mkuu
Hope you are fine have a blessed weekendMorning makapukuu
Hhaha kirat ananifurahisha sana