mariethakay
New Member
- Mar 8, 2017
- 2
- 8
Thenkx
Kuna simu mpaka leo hapa hua nazitafuta
hpana siku nyingine wanakua wakweli kuhusu jokate na kiba kuna mambo mengi sana yameingia hapo kati kwahiyo inawezekana unajua kama umemchoka mwenzio mwambie tu bwana eb endelea na mambo yako kuliku kumfanyia vituko visivyokua na kichwa wala miguu nachukia sna sio siri.Anaweza sema chochote ...
Alafu udaku mbona huwa siyaaminii wanaandikaga tuu with bashite evidence
Anaweza sema chochote ...
Alafu udaku mbona huwa siyaaminii wanaandikaga tuu with bashite evidence
Ahaaaaaah utakuaa mdogo wake jokate ....udaku hakuna kituhpana siku nyingine wanakua wakweli kuhusu jokate na kiba kuna mambo mengi sana yameingia hapo kati kwahiyo inawezekana unajua kama umemchoka mwenzio mwambie tu bwana eb endelea na mambo yako kuliku kumfanyia vituko visivyokua na kichwa wala miguu nachukia sna sio siri.
Hope sooGazeti la sani habari zao nyingi wanatoa insta kwenye page za umbea
sina undg na jokate wala hanijui ila ukweli acha usemwe wanaume mna shida sna yaanAhaaaaaah utakuaa mdogo wake jokate ....udaku hakuna kitu
huyu na etoo nilikua nawapenda1978 - Didier Drogba anazaliwa huko Abidjan nchini Ivory Coast.
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Marseille, Galatsaray na timu ya taifa ya Ivory Coast.
Mmoja kati ya wachezaji bora wa wakati wote kutoka bara la Afrika.
Klabuni Chelsea anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji wa kigeni ( Nje ya Uingereza )kuifungia timu hiyo mabao mengi zaidi.
Ni mchezaji wa mechi kubwa, kwani katika Fainali 10 alizocheza amefunga magoli 10 na kushinda mataji 10 ikiwemo Uefa Champions League mwaka 2012 dhidi ya Bayern Munich akifunga goli la kusawazisha.
Siri kubwa ya yeye kupenda kuvaa jezi namba 11 ni kwa kuea hiyo ni tarehe yake ya kuzaliwa.
Waliujua sana mpira enzi zao. Kwasasa mchezaji yupi wa afrika unayempenda?huyu na etoo nilikua nawapenda
ObrigadoLeo Katika Historia:
Niwatakie wikend njema.
Na baba mchungaji akiwemo??sina undg na jokate wala hanijui ila ukweli acha usemwe wanaume mna shida sna yaan
AsanteeeLeo Katika Historia:
Niwatakie wikend njema.
Umeongeaa kilicho moyoni au cha udaku ??sina undg na jokate wala hanijui ila ukweli acha usemwe wanaume mna shida sna yaan

nampenda Andrew ayew wa ghanaWaliujua sana mpira enzi zao. Kwasasa mchezaji yupi wa afrika unayempenda?
shukrani Mussolin nawe piaLeo Katika Historia:
Niwatakie wikend njema.
Sio chicharito ??nampenda Andrew ayew wa ghana
hahahhh yaan cha udaku kimenifanya mpk nitoe ya moyoni msicheze na mioyo ya watuUmeongeaa kilicho moyoni au cha udaku ??
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()