Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
kwa nn asiwepo na wanaume wote mpo hivyo kutesa wenzenu au mnafkili tuna mioyo ya plasticNdio![]()
![]()
![]()
![]()
Ila Baba mchungaji hayumo
kwa nn asiwepo na wanaume wote mpo hivyo kutesa wenzenu au mnafkili tuna mioyo ya plasticNdio![]()
![]()
![]()
![]()
Ila Baba mchungaji hayumo
Bwaaaanaaaaabwaaaaah .....kimezua balaa kimenifanya nitoe na ya kwangu
sa ngp umeniambia mmNimemwambiaa mm
Diktekta hayupo anaonekana mstaarabu sana hongera kwa mama hukoNa yeye yumo kwenye list yako ??
kwa nn asiwepo na wanaume wote mpo hivyo kutesa wenzenu au mnafkili tuna mioyo ya plastic
Chicharitosa ngp umeniambia mm
nilikua nimeshasahau hili udaku limenikumbushaBwaaaanaaaaabwaaaaah .....
Ngoja tusubirie wengine walioguswa najua frem bashite yumo
sawa kupenda ni kihere here chetu![]()
![]()
![]()
![]()
Wengine tunajua kazi moja ya moyo ...sukuma damu
Mmmmmmh mbona unamtetea ??Diktekta hayupo anaonekana mstaarabu sana hongera kwa mama huko
shululu wangu yupo tofaut nae akimpenda mtu amempenda miss u shemela wanguMmmmmmh mbona unamtetea ??
Shululu je ??
Limekukumbushaaa nini baby ...au ulishawahi tendewa??nilikua nimeshasahau hili udaku limenikumbusha

Sasa mbona wote hawamo ...haya tutajie unaowajuaashululu wangu yupo tofaut nae akimpenda mtu amempenda miss u shemela wangu
tuachane nayo tu nimeshatoa yangu ya rohoni basiLimekukumbushaaa nini baby ...au ulishawahi tendewa??
![]()
![]()
siwataji mnajijuaSasa mbona wote hawamo ...haya tutajie unaowajuaa

tuachane nayo tu nimeshatoa yangu ya rohoni basi
mmh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ila usijali uzuri nipo kukusaulishaa uliyotendewa
Quigley hawez kosa ,mondray ndaniii,mushenga yumoo ,obe najuaa yumosiwataji mnajijua![]()
na ww mwenyewe humoQuigley hawez kosa ,mondray ndaniii,mushenga yumoo ,obe najuaa yumo
Ndio kwenye list ya wanaumena ww mwenyewe humo