Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,112
- 1,249,111
aah usiku mwema sweet dreamsChabo mwisho sh 100 ila kitakacho kupata don't blame
aah usiku mwema sweet dreamsChabo mwisho sh 100 ila kitakacho kupata don't blame
Ahaaaa katoto kanalala, lala bibie usiku mwemaaah usiku mwema sweet dreams
Jf sio kfHabari za mida kf??
Hahaha, kf ni kapuku forum, ni short term yake, inatumika obviously, sema siku hizi waliokua wanaitumia wamepotea, wengine hawaingii humu ktk huu uziJf sio kf
Hahaaa kumbe mm ndio kilaza duuh, thanksHahaha, kf ni kapuku forum, ni short term yake, inatumika obviously, sema siku hizi waliokua wanaitumia wamepotea, wengine hawaingii humu ktk huu uzi
Mkuuu hope uko njemaaa jombaaa ...Hahaaa kumbe mm ndio kilaza duuh, thanks
Niajeee mkuuHahaha, kf ni kapuku forum, ni short term yake, inatumika obviously, sema siku hizi waliokua wanaitumia wamepotea, wengine hawaingii humu ktk huu uzi
Hahahahhaha yaanikhaaaa sio kwa israfu io!
Ni sawa na kusema dhambiWat du yu min?
Kuna simu mpaka leo hapa hua nazitafutaZawadi yenu wajamenView attachment 479358
Morning madameNi sawa na kusema dhambi
Pappaa Baba ya mama mchungaji ...uko byeeeGoodmorning family
Mzima kabisa jombaaa, jana mkakimbia nyoteMkuuu hope uko njemaaa jombaaa ...