Jombaaa nisamehe tangu juzi nimetingwa kinomaaa ila jomba mambo yatakuwa poa soonMzima kabisa jombaaa, jana mkakimbia nyote

Hahaaaa yaani jana kama mliambizana msiingie huku, daah full upweke.. Ila njema kama nyote mpo salamaaJombaaa nisamehe tangu juzi nimetingwa kinomaaa ila jomba mambo yatakuwa poa soon
Nimekuta replay sio za tanzaniaa![]()
![]()
![]()
Usiwazeee jombaaa si unajuaa kugufurikaHahaaaa yaani jana kama mliambizana msiingie huku, daah full upweke.. Ila njema kama nyote mpo salamaa
YaaaaahUsiwazeee jombaaa si unajuaa kugufurika
Tuko poaa jombaa , frem zero mzima ??Niaje wakuu nadhan nyote mpo wazima kabisa
No paprika mkuu rekebisha mkuuTuko poaa jombaa , frem zero mzima ??
Duuh hili jibu ngoja niliinywee chaiIchukuee![]()
![]()
![]()
Sio coke zeroNo paprika mkuu rekebisha mkuu
Duuh hili jibu ngoja niliinywee chai
Hahaa huyo hata simjui mmSio coke zero
Ahaaaaaah uliyekuwa unamashaka nae kama ni pacha wa kipenda roho chako zeroHahaa huyo hata simjui mm
Hahaa wale double bashite mm sina hata michongo naoAhaaaaaah uliyekuwa unamashaka nae kama ni pacha wa kipenda roho chako zero
Ahaaaaaaaa soo jombaaa moyo now umemkabidhi Nan??Hahaa wale double bashite mm sina hata michongo nao
Ally kiba sio wa kumfanyia jokate hivyo daah hao ndio wanaume bwana unasota nae miaka mingi unamvumilia kwa kila kitu anakuja kuolewa mwingine hawajakaa ata mda mrefu Mungu atakusaidi jokate utapata mtu aliye sahihi kwako hunaga bahati na mahusiano maskini.Udaku![]()
![]()
![]()
![]()
Hahaaa ww jamaa, Quigley hana chake. Any way sipend kumzungumzia mtu kwenye ishu kama hziPaprika huyu wa Quigley???