Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,615
- 40,949
Ukabila wa Ulaya[emoji1]Alienda Monaco kwa mkopo wa miaka miwili lakini akaishia kukaa benchi.
Wanasema urafiki wake wa karibu na CR7 ndio umesababisha mpaka leo aendelee kuvumiliwa pale Madrid.