Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
unanijaza kama sio ww

unanijaza kama sio ww

Lep katika Historia:
1983 - Pakistan yafanya majaribio ya kwanza kabisa ya silaha zake za Nyuklia.
hahahhh unapotezeaNdio kwenye list ya wanaume
Ndio sio mm kwenye listunanijaza kama sio ww![]()
Bomu la ugoro![]()
![]()
![]()
Kutengeneza ht bomu la ugoro tumeshindwa
.....

Mwamunyange jana wakati anaagwa ametoa ya moyoni, kuwa bajeti ndogo inasababisha jeshi kutopiga hatua zaidi.![]()
![]()
![]()
Kutengeneza ht bomu la ugoro tumeshindwa
.....
hahahhh unapotezea
kivipiii...
kwenye list umo usijitoeNdio sio mm kwenye list
List ipi mama bitekwenye list umo usijitoe
unajua mwenyewe kwan unayoyafanya unaona mazuri hii topic tuifunge tu![]()
![]()
![]()
![]()
kivipiii...
Uzuri shululu hayupo maswali yake yangekosaa majibu

kwenye list ya wanaume kama kibaList ipi mama bite
1990 - Patricio Aylwin anaapishwa kama Rais wa kwanza wa Chile aliyechaguliwa kidemokrasia toka mwaka 1970.
Aylwin alichukua nafasi ya Dikteta Jenerali Augusto Pinochet.
Jamaaanii kosa langu kuleta gazetiunajua mwenyewe kwan unayoyafanya unaona mazuri hii topic tuifunge tu![]()
Ata kupigaa mrunziii sijuiikwenye list ya wanaume kama kiba
wala haujakosea kuleta gazeti tena limenifurahisha sanaa yaan nina amani ya moyoJamaaanii kosa langu kuleta gazeti![]()
![]()
![]()
![]()
Ya jokote mwachie kidoti na kiba
Ya lee mwachie empire na Shunie
Ya ngoswe mwachie ngoswe

hahahh wenye tabia kama yy ya kutesa mtu anaempendaAta kupigaa mrunziii sijuii
1993 - Janet Reno anathibitishwa kama Seneta na kuapishwa siku ya pili yake na anachaguliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani.
Janet anakuwa mwanamke wa kwanza katika historia ya Taifa hilo kuwa Mwanasheria mkuu wa nchi hiyo.
2006 - Michelle Bachelet anakuwa Rais wa kwanza mwanamke katika historia ya nchi ya Chile.
1978 - Didier Drogba anazaliwa huko Abidjan nchini Ivory Coast.
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Marseille, Galatsaray na timu ya taifa ya Ivory Coast.
Mmoja kati ya wachezaji bora wa wakati wote kutoka bara la Afrika.
Klabuni Chelsea anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji wa kigeni ( Nje ya Uingereza )kuifungia timu hiyo mabao mengi zaidi.
Ni mchezaji wa mechi kubwa, kwani katika Fainali 10 alizocheza amefunga magoli 10 na kushinda mataji 10 ikiwemo Uefa Champions League mwaka 2012 dhidi ya Bayern Munich akifunga goli la kusawazisha.
Siri kubwa ya yeye kupenda kuvaa jezi namba 11 ni kwa kuea hiyo ni tarehe yake ya kuzaliwa.