Je nikitumia ganda la ndimu?JE WAJUA ?
chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua.
kama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu itakwisha
chukua ganda la limao lichome na vipisi vya karafuu weka kila pembe ya chumba mbu utawasikia kwa jirani
kutoa harufu kwenye wali uliongua weka kipande cha mkaa harufu ya kuungua itakata
km umepika mchuzi upo maji maji yaani mwepesi labda maji yamezidi chukua kiazi kikune na cha kukunia nyanya weka chuzi litakuwa rost
kuivisha maharage faster chukua maji yalochemka tia maharage weka kwenye chupa ya chai funga kesho mimina kwenye sufuria pika nusu saa harage litakuwa lishaiva
ukipika mchuzi vitunguu vikiungua weka sukari kidogo harufu ya kuungua haitasikika
Ukiamaliza kuosha vyombo still wire iweke kweny maji haiharibiki utaendelea kutumia kesho
big g ikiganda kwenye nguo weka kweny friza ikiganda itatoka kirahisi
kuondoa harufu ya uvundo kwenye fridge weka baking soda kwenye kikombe na maji kidogo weka kwenye fridge
Hujui kutofautisha kati ya ndimu na limaoJe nikitumia ganda la ndimu?
Kutokana na zana zao kwa jinsi walivyokuwa na roho ngumu pangechimbikaJE WAJUA??
Vita fupi zaidi ni vita kati ya Zanzibar na England, ilichukua dakika 38 pekee Zanzibar waka surrender
I thought soKutokana na zana zao kwa jinsi walivyokuwa na roho ngumu pangechimbika
DuhJE WAJUA??
Kila baada ya sekunde 5 mtoto anazaliwa
JE WAJUA??
Vita fupi zaidi ni vita kati ya Zanzibar na England, ilichukua dakika 38 pekee Zanzibar waka surrender
Najua ndio maana nataka nijue kama na ndimu itafaa nikichoma na kibiriti?Hujui kutofautisha kati ya ndimu na limao
KivipiJE WAJUA??
Awali Android ilikua imetengenezwa kama Camera Operating system
Nadhan brother lee atakujibuNajua ndio maana nataka nijue kama na ndimu itafaa nikichoma na kibiriti?
Mkuu kaa humu utafaham vingi usivyo vijuaKivipi
JE WAJUA??
Awali Android ilikua imetengenezwa kama Camera Operating system
JE WAJUA??
Kwa mujibu wa NASA Las Vegas ndio mji Unao ng'aa zaidi duniani
Hapana hutofanikiwaJe nikitumia ganda la ndimu?
Hawezi fanikisha mkuuNadhan brother lee atakujibu