Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,415
- 109,980
Daah ngoja nirudishe ile ile maana ww ni mtu wa tatu unaniambiaunabadilisha avatar utafikili whatsap [emoji23] mama mchungaji amekusikia atakuja
Daah ngoja nirudishe ile ile maana ww ni mtu wa tatu unaniambiaunabadilisha avatar utafikili whatsap [emoji23] mama mchungaji amekusikia atakuja
humu jf hakunaga mambo hayo tena ukibadili mtu anajua sio ww sbbu umeshazoeleka na avatar moja [emoji23] ila badili tu kila mtu na mtazamo wakeDaah ngoja nirudishe ile ile maana ww ni mtu wa tatu unaniambia
Ahsante ila sijaharibu maana sana maana ni mtu yuleyulehumu jf hakunaga mambo hayo tena ukibadili mtu anajua sio ww sbbu umeshazoeleka na avatar moja [emoji23] ila badili tu kila mtu na mtazamo wake
HayaMkienda naomba mfike hadi Illinois.
[emoji3]Karibu mgeni mwenyeji apone
[emoji4]Paprika, nimejiskia raha kukuona humu
Poa, aje?Oyaaaa mko poa hapa
[emoji53]Mie cjambo shemela,bashite nlishampiga chini kitambo
Af wewe dada em nikumbushe tumewai onana wapi vile?[emoji4]Morning
AvataaaaaaaaaaaHabari za asubuhi wanafamilia wenzangu. Natumaini mpo poa kabisa, hatimae leo nimefufuka tena.
[emoji134]Hapa tunaishi kama familia ni tofauti na huko kwenye forums zingine, ukiwa na tatizo, wazo, kitu unakifaham basi unakuja tunachangia. Heshima kama kawa. Humu watu wanaishi kwa couples wengi ni double, nadhan ww ni jimbo waz so nadhan tunaweza tukafanya uchaguz nikawa mbunge wako
frem zero[emoji115]Hapa tunaishi kama familia ni tofauti na huko kwenye forums zingine, ukiwa na tatizo, wazo, kitu unakifaham basi unakuja tunachangia. Heshima kama kawa. Humu watu wanaishi kwa couples wengi ni double, nadhan ww ni jimbo waz so nadhan tunaweza tukafanya uchaguz nikawa mbunge wako
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lee tafadhari usinihusishe humo kwenye story... Damnnn!!!! Frem kaja mida mibovu
[emoji3]Paprika wala usiofu ....iko muntu moko inaitwaga mukongo pappa muntu ya pesa kwanza lazima akuandalie juis ya kapuku alafu shululu atakuhudumia unachokitaka humu wengine wapambe .....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Ila msikilize
[emoji144]We chukua tu!
[emoji134]Nitumie namba na picha zako pm nikubadilidhie chap