Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,932
Kuna mtu nimemmis ngoja nijaribu kumuita
Frem zeroo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Kuna mtu nimemmis ngoja nijaribu kumuita
Frem zeroo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Sio lazima ashinde, eti eee!!

WeweeeeeKweli kabisa!
Dada Paprika nakuomba uje pm nikupe maelekezo muhimu dadangu

Usiwasikilize hao. Quigley, lee, werrason, mussolin wana watu wao utarogwa bure. Baki na mimi

Nakemea mapepo na kuyatowa nduki!!!Naogopa kurogwa kwa kweli.

Haya endeleeni kucheza rafu

Wat!!! UtarepewaWengine picha zetu sio za mauzo. Maana tumekongoroka vibaya mnoo

Jamaa ni mwoga akiona rafu anaweka mpira kwapani
Hilo Changa!!!.....weka picha!JE WAJUA??
Mtoto wa kangaroo anapozaliwa anakua mdogo kiasi anaweza kuenea kwenye kijiko cha chai
SijuiJE WAJUA??
Ukiandika @fbcheese play kwenye messenger unaweza kucheza draft na rafiki yako
Maweeee!!!JE WAJUA??
Kulala na simu chini ya mto kunasababisha kansa ya ubongo

Whaaaaat!!!ATTENTION
Usipokee simu yako kama chaji ipo chini ya asilimia kumi. Kwani mionzi inakua mikali mara 1000

Kama uwongo vile!!!JE WAJUA??
Anord Schwarzenegger alilipwa Dollar 21, 429 kwa kila neno alilo sema kwenye filamu ya Terminator2
Mao naskia alikuwa anarusha mate balaaah!!!JE WAJUA??
Mao Zedong hakuwahi kupiga mswaki maisha yake yote.
Albert Einstein hakuwahi kuvaa soksi maisha yake yote
JE WAJUA??
Kunywa maji ya baridi kunasababisha ugonjwa wa Shambulio la moyo

JE WAJUA??
Wamiliki wa kampuni ya Puma na Adidas ni ndugu
hii nilikua najua