Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kama anavyosema UncleBen, hili swala la matabaka siyo geni JF, mifano michache ni:-

- Wanawake over 30 wanavyobaguliwa humu (kwa sasa naona kama imepungua kidogo)
- Single mothers kila siku wanapondwa
- Nyumbu (aka wazungusha mikono) vs Lumumba BK7
- Wagalatia vs Wazee wa milipuko
etc

Hawa Makapuku wameenda next level kutengeneza forum yao, kama hawamtukani mtu mi naona sawa tu.
Mkuu umeeleweka vizuri sana
 
1b83216cf23fbde395865253fb33c467.jpg
 
Back
Top Bottom