Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Mungu saidia Nahrene asiione hii post.Ndiyo mana naipenda
Mungu saidia Nahrene asiione hii post.Ndiyo mana naipenda
Shem kapendeza!!!! MaanuuuuuPoa sana Shem wangu wa ukweli kabisa Th Name nafurahi kusikia upo poa..Umependeza sana leo Shem..
Mkuu mwamini YesuMkuu njoo tupige "cha Arusha" Na baridi hii litakuwa rahisi
nipo naye hapa...kalalaAmaizing...where you!
Dah kweli shem wangu leo kapendeza mbaya sana hadi yeye mwenyewe anajua kuwa katokelezea mbaya.. lizziebettieShem kapendeza!!!! Maanuuuuu
Kwani wameaga wanakwenda Laundry?Lakin labda alikuwa na nguo mingi za kufua..😀😀
HahHahaaaa kweli wewe ni PatienceNilijiongeza eti..maana sabuni mche si hali ya kawaida,tena naona amenistiri,alikuwa aniagize babycare
Baby tena?wasikuone wenye mali.hi baby
MamboYupo. Anaitwa ibra87
Walitaka uende na mche kwanza then ndo waende mtoni kufua..Kwani wameaga wanakwenda Laundry?
Halafu leo wapi.. Nime mmiss gafla... Yoooooong?Mungu saidia Nahrene asiione hii post.
Dah,we acha tu.Niko pouwa sana,Nahrene hajambo?
Maanuuu.... Kuwa makini na macho yakoDah kweli shem wangu leo kapendeza mbaya sana hadi yeye mwenyewe anajua kuwa katokelezea mbaya.. lizziebettie
Sawa mama.Niko poa ila busy kiasi na majukumu, nawamiss ila tuko pamoja
Kwangu nilimwona manuu alimpata amaizing, sijajua kwa wengine.Wangapi walifanikiwa?
Noo,mimi namlindia youngblood mali zakeHalafu leo wapi.. Nime mmiss gafla... Yoooooong?
Ni shemeji wangu wa ukweli yeye mwenyewe anajua kabisa na ni family friend wetu..Maanuuu.... Kuwa makini na macho yako
Usimwambie shemeji tafadhali.Jibu hili alione Nahrene mda wowote atakao rudi hapa..