Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu huu Uzi wako umefanya nitafute hiyo thread ya makapuku forum!
Huwa naona hiyo thread lakini sikuwahi kuifungua, jukwaa ilipo huwa sitembelei Mara kwa Mara. Ule Uzi naona Kama Ni malalamiko fln, kwa nini malalamishi?
wewe unaakili ndio maana umeliona hilo, wenzako hao wanaojiita wakongwe ndio wanaoiharibu jf kwa kuleta Matabaka.. Jf haiwezi kuendelea kwa upuuzi unaoletwa na Wanaojiita Wakongwe
 
745aae9142854888d012c0dd60b6117e.jpg
 
nitafurahi sana hii nguvu kazi ya vijana wa JF mnaojiita makupuku,mje kuongeza nguvu ktk majukwaa ya kenya forums ili watanzania tuzidi kuwatoa kamasi wakenya ktk mijadala mbalimbali.
tatizo lenu wengi wenu huwa mnashinda MMU kutufuta kick kwa mademu.
hamuwezi kushiriki ktk mijadala mizito ambayo inahitaji kichwa smart kujenga na kupangua hoja.

CC Kimweri Geza Ulole MK254 MOTOCHINI et al
 
wewe unaakili ndio maana umeliona hilo, wenzako hao wanaojiita wakongwe ndio wanaoiharibu jf kwa kuleta Matabaka.. Jf haiwezi kuendelea kwa upuuzi unaoletwa na Wanaojiita Wakongwe
Mkuu ibra87 nimepitia comment mbili tatu, mfano ipo inayodai kuwa no likes, no reply, sasa mkubwa hivi vitu navyo Ni vya ku-complain? Au nini msingi wa malalamiko pengine sijaelewa maudhui. Nifahamishe mkuu.
 
nitafurahi sana hii nguvu kazi ya vijana wa JF mnaojiita makupuku,mje kuongeza nguvu ktk majukwaa ya kenya forums ili watanzania tuzidi kuwatoa kamasi wakenya ktk mijadala mbalimbali.
tatizo lenu wengi wenu huwa mnashinda MMU kutufuta kick kwa mademu.
hamuwezi kushiriki ktk mijadala mizito ambayo inahitaji kichwa smart kujenga na kupangua hoja.

CC Kimweri Geza Ulole MK254 MOTOCHINI et al
Nimekusikia mkuu
................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom