wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,420
- 2,214
tatizo lao wanataka umaarufu wakati wamefika jana halafu wanataka kuwa sawa na kina lalaHabari za Jumamosi wanaukumbi...
Ile kauli ya matabaka hayaepukiki katika jamii imejidhihirisha ndani ya JF baada ya kuibuka kwa members wanaojiita " Makapuku " ambao wengi wao ni members wapya wakilalamika kutopatiwa ushirikiano na members ambao ni wakongwe.
Makapuku wameenda mbali zaidi na kufungua thread yao wakiita Makapuku forum kama sijakosea ikiongozwa na Bitoz Th Name na wengineo, je hii nini maana yake ndani ya JF? Ni kweli ndani ya JF kuna utabaka kati ya wakongwe na members wapya?