Nzuri... Habari za misheHabari ya jion humu ndani...
Maeneo ya Philips mkuu kwa muda huu hapa Sky lounge(Ghorofani) ila kitaa pande za RicksTeacher on duty upo Arusha maeneo gani?
Hodi hodi umu wana makapuku
I love u baeThat's my love
Muanzisha mada kwanza ni kapuku.. Kajiunga mwaka jana tukwani wao kina nani hapa jf, labda kama angeongea melo mwenyewe lakini wao ni member kama sisi, period!
II love u bae
you too honeyHuna kwani mbona kama namjua hivi huku au unatania aisee cute bNyie wanaume acheni kunikatili au mnataka mimi niwatongoze sio?
Eeeeee peter sio vizuri ivyo lakini..kwani me naondoka nayo amaizing mbona unakuwa mchoyo hivyo
Nakumbuka ya Bagamoyo
mwanasheria wa makapuku hapa ..Hahaaaa
Kapuku katika ubora wako
Washaanza kutia fitna huko..watakufa na chuki.zaoKuna uzi kule unaitwa wa mwisho ni mshindi nilikua nauona kama uzi uliovunja rekodi lakini huu wa makapuku forum ni sheeda ule unasomeka 11k wakati wa makapuku unasomeka 12k tunaongoza kwa kila kitu huku jf tunatisha sana aisee safi sana makapuku forum