Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
kunywa mtori nyama zipo chini ... JF wewe ni mgeni na pia nakukaribisha kule kwa makapuku wenzako,,..Usilolijua ni kama usiku wa giza
kunywa mtori nyama zipo chini ... JF wewe ni mgeni na pia nakukaribisha kule kwa makapuku wenzako,,..Usilolijua ni kama usiku wa giza
Pole sana shemeji.Nashindwa kuelewa kabisa..
Hahaha,naona umeanza kulialia,kweli mapenzi mabaya.Where is my jimena🙄🙄
Dah wacha mimi nimtake usiku mwema huko aliko .. amaizing my dear ni kosa la jinai mimi kwenda kulala bila kukutakia usiku mwema..Nakupenda mno mumy na nikutakie usiku mwema..Mme wako hapa..Yani shemeji acha tu,itabidi nilale kwanza labda nikiamka atakuwa amerudi?
hata wewe unajiita mkongwe ?Waache wakae huko huko kwenye Makapuku forum wakishajifunza kuanzisha mada na kuchangia mada watakuwa comfortable kuhamia huku kwa wakongwe... Ni sawa tu na kujifunza kuendesha gari. Ushawahi kumuona mtu anajifunzia high way?
Mkuu usiumize kichwa bure jamii forum ndivyo ilivyo ,matabaka hayakosekani kama tu kwenye maisha mengine ya kawaida ,ukikutana na mtu kakutukana ,mtukane tu ,vinginevyo kuwa mpole umpe shavu la pili akupige kibao ,Mkuu jione mwenyewe....
Nimeiona hiyo. Nimekuwa surprised kidogo. Hongera kwake mchungaji jambiloPM kwanza umefuatilia yaliyojiri leo hapa kama bado wacha niwe wakwanza kutambulisha Couple mpya ya leo leo kati ya Patience123 na jambilo mtumish amaeamua kuvuta jumla niombe uongeze kwenye list yako ya couple hapa..
miaka 9Ili husiwe kapuku unatakiwa uwe na muda gani toka kuwa member wa jf? ?
Hahaha,weekend hii ndoa nyingi sana hapa zitavurugika.Dah wacha mimi nimtake usiku mwema huko aliko .. amaizing my dear ni kosa la jinai mimi kwenda kulala bila kukutakia usiku mwema..Nakupenda mno mumy na nikutakie usiku mwema..Mme wako hapa..
Kabisa mkuu..Hahaha,weekend hii ndoa nyingi sana hapa zitavurugika.
dunia ya leo kuwa kimya nia aina fulani ya uoga ...Ht watutukane vipi
SILENCE IS THE BEST ANSWER
![]()
![]()
![]()
![]()
......................