Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wageni wamekuja na lugha za matusi ambazo hazivumiliki! Mtu anadiriki kutukana wazazi wa mwenzake kana kwamba hao wazazi wanachangia mada kwenye JF! ( Mimi yamenikuta kutukaniwa wazazi wangu ambao wapo mbele ya haki! Iliniuma sana!) Suluhisho, Bw. Mello aanzishe forum nyingine kwa hawa Makapuku na wale wa zamani warudishiwe Jambo Forums yao!
Pole Sana Mkuu, Hao Makupuku Wengi Wao Ni Wanuka Mkojo ( Watoto )
 
Mkuu umeona wapi mlinzi wa getini akawa busy?
Hilo suala la kufanya kazi ni la mtu binafsi, si kila mkulima anashika jembe analima!, wengine wanatumia pesa zao kulimisha wengine.

Sikiza mimi silimi wala sishiki jembe na nina watu kibao nime delegate kwao ila sina muda wa kukaa humu 24/7 in most cases just chatting nd making unproductive stories. Ndio kuna muda wa ku refresh na ku socialise ila kuna wadau humu nime wa trace kwa karibu ni balaa.

Thats insane man.
 
Aisee wale jamaa wanaongea shudu kinoma
Mimi TAMKO LANGU NI KWAMBA MSIWAJIBU NDO WATAUMIA
Wanataka kupunguza spidi ya huu Uzi
4f572a16e555e63a839b96c246c02a32.jpg

........
haha hadi wewe mkuu ...

Sawa mkuu,nilikuwa nimeanza kujibu mapigo lakini nimeona tukaushe tu kwasababu tukianza kujibizanaa tutawapa nguvu.

Wengi huwa wana ID mbili mbili humu, wakipigwa BAN huwa wanafukua hizi ID zao.

Mara nyingi huwa wanajisahau kwenye kukoment wanakocoment kama wako na ID zao za zamani, ukiwastukia wanafuta comment fasta
 
haha hadi wewe mkuu ...
Hata mimi nilisota sana humu, kama miaka miwili hivi ya mwanzoni, nilikuwa kapuku kweli kweli, naweza kuanzisha sredi ya maana isichangiwe kabisa.
Akiikopi mwenzio akaipost vile vile watu wanachangia kibao.

Kilichoniokoa nilikuwa nashinda sana jukwaa la ujasiriamali enzi hizo, hali ilikuja kugeuka polepole sana mkuu.

Ila wakongwe wa kuanzia miaka ya 2006 mpaka 2010, wengi wabaguzi sana.
 
Habari za Jumamosi wanaukumbi...
Ile kauli ya matabaka hayaepukiki katika jamii imejidhihirisha ndani ya JF baada ya kuibuka kwa members wanaojiita " Makapuku " ambao wengi wao ni members wapya wakilalamika kutopatiwa ushirikiano na members ambao ni wakongwe.

Makapuku wameenda mbali zaidi na kufungua thread yao wakiita Makapuku forum kama sijakosea ikiongozwa na Bitoz Th Name na wengineo, je hii nini maana yake ndani ya JF? Ni kweli ndani ya JF kuna utabaka kati ya wakongwe na members wapya?
Mkuu huu Uzi wako umefanya nitafute hiyo thread ya makapuku forum!
Huwa naona hiyo thread lakini sikuwahi kuifungua, jukwaa ilipo huwa sitembelei Mara kwa Mara. Ule Uzi naona Kama Ni malalamiko fln, kwa nini malalamishi?
 
Hata mimi nilisota sana humu, kama miaka miwili hivi ya mwanzoni, nilikuwa kapuku kweli kweli, naweza kuanzisha sredi ya maana isichangiwe kabisa.
Akiikopi mwenzio akaipost vile vile watu wanachangia kibao.

Kilichoniokoa nilikuwa nashinda sana jukwaa la ujasiriamali enzi hizo, hali ilikuja kugeuka polepole sana mkuu.

Ila wakongwe wa kuanzia miaka ya 2006 mpaka 2010, wengi wabaguzi sana.
Kila kitu kina mwanzo na mwisho.
 
Kuna wanao kesha yani kutwa nzima wako jamii forums 24/7. Ivi kazi au shughuli zao wanafanyaga saa ngap ??

Cz binafsi si kila wakati nipo humu unless ni notification ya kitu muhimu nafatilia. Si hukumu mtu though.
mkuu kuna bloggers pia kazi yao ni kushinda kwenye mitandao kutafuta habari na kuhabarisha jamii .. hivyo kama wewe ni mkulima utashangaa ni kwa nini kuna watu wapo humu 24/7
 
hata wewe ni mnuka mkojo kwa kuwa unachoandika kwa Id's Zako Zote ni Upuuzi. Mnaandika Ujinga Harafu mnabebwa na Mods kisha mnajiita Wakongwe? Hakuna maana ya kuifikisha mbali jf ikiwa kuna wajinga kama wewe msiotambua Umuhimu wa Jf
Nyie Ndio Mnaopelekwa Mahakamani Kwa Makosa Ya Mtandao, Mimi Nina ID Moja Tu Ambayo Ni Hii
 
Hata mimi nilisota sana humu, kama miaka miwili hivi ya mwanzoni, nilikuwa kapuku kweli kweli, naweza kuanzisha sredi ya maana isichangiwe kabisa.
Akiikopi mwenzio akaipost vile vile watu wanachangia kibao.

Kilichoniokoa nilikuwa nashinda sana jukwaa la ujasiriamali enzi hizo, hali ilikuja kugeuka polepole sana mkuu.

Ila wakongwe wa kuanzia miaka ya 2006 mpaka 2010, wengi wabaguzi sana.
Wengi wetu tumekumbana nayo hii hali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom