Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kikofia unasema ile Mad Max furry eeh?!!
Yap
1475053497219.jpg
fury road
 
1978 - Papa John Paulo wa Kwanza anafariki.

Ni papa aliyedumu kwa siku 33 tu.
Ni papa aliyetokea Nchini Italy.

Kabla ya kuchaguliwa kuwa Papa alikataa kabisa kudhika wadhifa huo, hivyo alilazimishwa.

Alijulikana kama " The smiling pope "

Kifo chake kinabaki kama moja ya vifo tata kuwahi kutokea Duniani.

Japo ripoti zinasema alikufa kwa ugonjwa wa moyo, lakini kuna wanaoamini Papa alinyamazishwa.
Kuna mambo itakuwa hakuyapenda...wakampa cheo hicho wammalize vizuri.
 
Kuna pesa iliibiwa katika benki ya Vatican, kilikuwa ni kiasi kikubwa sana. Na ukumbuke Papa kabla ya kuteuliwa aligoma kushika wadhifa huo, hivyo basi kuna madudu mengi yaliyokuwa yanaendelea aliyafahamu, na alipokubali kuteuliwa kuwa papa alidumu kwa siku 33 kabla ya mauti kumfika.

Kuna wanaoamini alilishwa sumu iliyomuua taratibu. Inabaki kuwa nadharia tu.
Dunia ina siri sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom