Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dem Wang ameamua tuachane kasema kila alicho nipa nimrudixhie na kila nilichompa anirudixhie anaringa anajua sijawahi hata kumpa pipi kijiti sasa nimemwita geto aje anipe kiss zangu zote na denda zangu nilizo mpaa amelala mpaka asubuh eti anasema zilikua hasira sitaki ujinga mm
Hahaa... Kimboto kimemchanganya!! Chezea miuno ya paka chongo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom