Makapuku Forum

Makapuku Forum

1996 - Rais wa zamani wa wa Afghanstan anakamtwa na kuteswa baadae anauliwa na kikundi cha kigaidi cha Taleban.
IMG_20160928_094612.jpeg
IMG_20160928_094621.jpeg

Uhaini
..........
 
1978 - Papa John Paulo wa Kwanza anafariki.

Ni papa aliyedumu kwa siku 33 tu.
Ni papa aliyetokea Nchini Italy.

Kabla ya kuchaguliwa kuwa Papa alikataa kabisa kudhika wadhifa huo, hivyo alilazimishwa.

Alijulikana kama " The smiling pope "

Kifo chake kinabaki kama moja ya vifo tata kuwahi kutokea Duniani.

Japo ripoti zinasema alikufa kwa ugonjwa wa moyo, lakini kuna wanaoamini Papa alinyamazishwa.
 
IMG_20160928_100607.jpeg
IMG_20160928_100559.jpeg
IMG_20160928_100548.jpeg

RIP
......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom