Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Sikamoooooo bafandeJirekebishe
Sisi wote ni kitu kimpja na lengo letu thread iwe ya kijanja NOT A DUSTBIN
................
Sikamoooooo bafandeJirekebishe
Sisi wote ni kitu kimpja na lengo letu thread iwe ya kijanja NOT A DUSTBIN
................
LolHuu ni ujumbe kwa members wote ila tu umenitumia mimi kama punching bag hahahahaha
Senkiyuu kwa magazeti, siku njema JJ.View attachment 408088View attachment 408089View attachment 408091
Kutoka katika uchambuzi wa magazeti sina la ziada
Asante sana briz kwa kusababisha asubuhi ya Leo
Naitwa Jimena Jimenes
Ciao
Huwa tunaziona sema hatuwapi kiki.... Tunazikaushia mwanzo mwishoKuna watu hawafikiri hizo thread hatujaziona hivyo wanatuita kwa nguvu akaDELETE tu
...............
Profesa anaenikatisha tamaa ya kuendelea na shuleUtamuweza lipumba
Mzee wa kulala ofisini
![]()
![]()
![]()
.........
We kiboko kabisaDem Wang ameamua tuachane kasema kila alicho nipa nimrudixhie na kila nilichompa anirudixhie anaringa anajua sijawahi hata kumpa pipi kijiti sasa nimemwita geto aje anipe kiss zangu zote na denda zangu nilizo mpaa amelala mpaka asubuh eti anasema zilikua hasirasitaki ujinga mm
Asante mwenyekitiSenkiyuu kwa magazeti, siku njema JJ.
SWALI: Nasikia mbu ana matiti ni kweli?Leo katika Historia:
Ni siku ya kumuuliza swali mjinga huko nchini Marekani
Asante kwa magazeti Ankali JJView attachment 408088View attachment 408089View attachment 408091
Kutoka katika uchambuzi wa magazeti sina la ziada
Asante sana briz kwa kusababisha asubuhi ya Leo
Naitwa Jimena Jimenes
Ciao
Hii ya leo kaliLeo katika Historia:
Ni siku ya kumuuliza swali mjinga huko nchini Marekani
Huu utabiri ulilithi wapiNatabiri mechi Itakuwa draw
Haaaahaaaa le prosofeliNdio lishamuathiri hilo.. Kaiashakuwa pumba, itamchukua miaka mingi kuja bichwa kusafishika..
Nyoosha waharibifu wa thread
![]()
![]()
![]()
.......
Nadhani wameshasikia, hvyo hamna haja ya kugongelea msumari tena.