Umemsahau andunje cazorla, mata..Akitoka huyo anafuata Shaqir wa stoke city after that Anafuata anduje wa Barcelona
![]()
![]()
![]()
![]()
Nawasalimu wote humu wajomba na mashangazi wakubwa kwa wadogo, niilingia bila salamu family
marahaba, hujambo dogo?Itakuwa ni "Ulindi na ulimbombo" yani moto lazima uwake
![]()
![]()
![]()
![]()
Economic background ya Kenya inawafanya wawe na uchumi mkubwa kuliko sisiSitakag hata kuifkiria bongo.. Machungu yake ni aher ya kmwagwa na dem siku ya ndoa..
Duh!! Kweli wameamua ila sio kesi mie nakwenda hvyo hvyo.. Ntafanya utalii wa ghafla madagascar..Kuna offer one-way to Madagascar![]()
Nilikuwa napiga banda za kutosha.. ila nilipoingia secondary nikajua bata, mademu na kushi+alcohol nka-floop, japo form 4 nlpita kibahati bahati![]()
![]()
![]()
Bila shaka maarifa ya jamii standard 5 ulikuwa unaopoa banda tuu

Ni kweli aisee hakuchuja.Wacko jacko hakuwahi chuja..
Vitu vyote walivyozindua tulipanda bure siku za mwanzoni..Shule bure na ndege unataka bure![]()
![]()
Dead balls..mipira iliyokufa
Fresh tu ndugu, mishe vip kaka.Sawa baba, mambi vip lkn
Tumezipokea vizur tuu..Nawasalimu wote humu wajomba na mashangazi wakubwa kwa wadogo, niilingia bila salamu family
Umemuacha usingizini ni nini?Wacko jacko hakuwahi chuja..
Mambo niajeee QuigleyNawasalimu wote humu wajomba na mashangazi wakubwa kwa wadogo, niilingia bila salamu family
Safi sana the bookJE WAJUA??
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
The Book wa Makapuku kwa msaada wa mtandao.
- Arsenal wanashikilia rekodi ya kuingia kwenye mashindano na wachezaji 11 kutoka mataifa kumi na moja tofauti,kila mchezaji na nchi yake.
- Real Madrid inashikilia rekodi ya kushinda mara nyingi zaidi (11) na rekodi ya kushinda mara 5 mfululizo(1956-1960)
- Barca inashikilia rekodi ya kufika nusu fainali mara sita mfululizo.
- Ni wachezaji wawili tu waliopewa kadi nyekundu katika mchezo wa "fainali",ambao ni Jens Lehman wa Arsenal na Didier Drogba wa Chelsea.
- Benifica inashikilia rekodi ya kushinda magoli mengi zaidi katika mechi mbili dhidi ya Dudelange ambapo ilishinda kwa jumla ya magoli 18-0.
- Mchezaji mkubwa zaidi kucheza UEFA ni Marco Ballorta wa Lazio akiwa na miaka 43.Na mdogo zaidi ni muafrika Celestine Babayaro akiwa na miaka 16.
- Mwaka 1967 Celtic ilivunja rekodi ya kushinda kombe hilo ikiwa na wachezaji wote wazaliwa wa eneo moja(kilomita 50 kutoka uwanja wao wa nyumbani)
- Goli la mapema zaidi ni la Roy Maakay wa Bayern Muchen katika sekunde ya 10.

Shululu huku kwema, habar za hukoMambo niajeee Quigley
Salam zimefika hope...family haijambo.Nawasalimu wote humu wajomba na mashangazi wakubwa kwa wadogo, niilingia bila salamu family
Mie sio mtu wa uchumi, ila naona bongo walizingua, hakuna sababu za economic background wala nin..Economic background ya Kenya inawafanya wawe na uchumi mkubwa kuliko sisi
Sjambo kubwaamarahaba, hujambo dogo?