Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Ni mwendo wa mbupu tuHahaa... Kimboto kimemchanganya!! Chezea miuno ya paka chongo..
![]()
![]()
Ni mwendo wa mbupu tuHahaa... Kimboto kimemchanganya!! Chezea miuno ya paka chongo..
![]()
![]()
Ni nature ya soka ya huko.. Ila hata carlo ancelloti nae hana ujing huo..Waitaliano wengi wako hivyo, ukiondoa Lippi peke yake
Ni mwendo wa mbupu tuHahaa... Kimboto kimemchanganya!! Chezea miuno ya paka chongo..
![]()
![]()
![]()
tulitereza
tuteleze kwani sisi tumekuwa altezaKizungumkutiNadhani misri ndo wa kwanza kupata uhuru katka bara la Africa kamasijakosea.
History kizunguzungu
Morning, jirani Vibaya hivyo,Morning family...
morning sweetiepieMorning family...
Andunje valbuena...1984 - Mathieu avalbuena anazaliwa.
Ni kiungo wa kati wa ambaye alicheza Marseille, Olympic Lyon na timu taifa ya Ufaransa.
Anasifika kwa umakini wake akiwa uwanjani, pia ni miongoni mwa wachezaji wafupi sana katika soka.
Haaaahaaaatuteleze kwani sisi tumekuwa alteza
Hahaaa... Kuna mtu jasho limemtoka kwa jina la juma pumb maharage..Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Magufuli, tukutane tena kesho.
Hili jina Kuna watu linawaumiza sanaHahaaa... Kuna mtu jasho limemtoka kwa jina la juma pumb maharage..
Ntalipata wapi sasa kwa mfano?Nenda tu.. Haina maana utakuwa kama yeyey.. Kinachomsumbua huyu ni jina la lipu"mba hope, huna jina uchwara kama hilo
Nimecheka sana.. Kuna kicjekesho kimoja joti anawaita majina mbuzi.. Kinachekesha mtuu..1988 - WEMA SEPETU anazaliwa.
Ni miss Tanzania wa zamani na msanii wa filamu toka nchini Tanzania.
PachaMorning family...
Namba 8 tu ndiyo sijaichekiHiyo 9 na 10 hapo sijaangalia bado afu sijui haya mauzo yanatokana na nini hasa mana kuna movie nyingi tu kali zaidi hizo lakin hazimo kwenye hiyo list ya mauzo

Au 4 saleNimecheka sana.. Kuna kicjekesho kimoja joti anawaita majina mbuzi.. Kinachekesha mtuu..
Sepenga!!!
Kila siku vifo vipo.. Leo tu misiba ya watu tuwajuao ndio ya kutosha..Leo ni siku ya misiba.
Yeah au kwa lugha nyingine kismatWakati mwingine zali tu
Thupu ya mbwa hii.. Hainyweki ikiwa imepoa..