Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Labda ile bifu yake na boss(rick ross) ndo ilimpotezaHuyu jamaa siku hizi amepotea kwenye game, sijui tatizo ni nini
Asante sana kwa historiaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Magufuli, tukutane tena kesho.
Itakua tu alinyamazishwa mana roma nako kuna kaumafia1978 - Papa John Paulo wa Kwanza anafariki.
Ni papa aliyedumu kwa siku 33 tu.
Ni papa aliyetokea Nchini Italy.
Kabla ya kuchaguliwa kuwa Papa alikataa kabisa kudhika wadhifa huo, hivyo alilazimishwa.
Alijulikana kama " The smiling pope "
Kifo chake kinabaki kama moja ya vifo tata kuwahi kutokea Duniani.
Japo ripoti zinasema alikufa kwa ugonjwa wa moyo, lakini kuna wanaoamini Papa alinyamazishwa.
Asante sana The bookJe Wajua?
MUVI 10 ZILIZOUZWA ZAIDI DUNIANI
1-AVATAR(2009)
2-TITANIC(1997)
3-MARVEL'S THE AVENGERS(2012)
4-HARRY POTTER AND THE DEATHLY HALLOWS(2011)
5-TRANSFORMERS;dark of the MOON(2011)
6-THE LORD OF RINGS:Return of the KING(2003).
7-SKYFALL(2012).
8-THE DARK KNIGHT RISES(2012).
9-PIRRATES OF CALLIBBEAN;dead Man's CHEST(2006)
10-TOY STORY(2010)-part 3.
@The Book wa Makapuku.
kama zipo mseme nifute!!
Tena umafia wa hali ya juuItakua tu alinyamazishwa mana roma nako kuna kaumafia
...poaaa dadaAsante sana The book
Huyo kaminywaa sio bureItakua tu alinyamazishwa mana roma nako kuna kaumafia

Hiyo 9 na 10 hapo sijaangalia bado afu sijui haya mauzo yanatokana na nini hasa mana kuna movie nyingi tu kali zaidi hizo lakin hazimo kwenye hiyo list ya mauzoJe Wajua?
MUVI 10 ZILIZOUZWA ZAIDI DUNIANI
1-AVATAR(2009)
2-TITANIC(1997)
3-MARVEL'S THE AVENGERS(2012)
4-HARRY POTTER AND THE DEATHLY HALLOWS(2011)
5-TRANSFORMERS;dark of the MOON(2011)
6-THE LORD OF RINGS:Return of the KING(2003).
7-SKYFALL(2012).
8-THE DARK KNIGHT RISES(2012).
9-PIRRATES OF CALLIBBEAN;dead Man's CHEST(2006)
10-TOY STORY(2010)-part 3.
@The Book wa Makapuku.
kama zipo mseme nifute!!
Wakati mwingine zali tuHiyo 9 na 10 hapo sijaangalia bado afu sijui haya mauzo yanatokana na nini hasa mana kuna movie nyingi tu kali zaidi hizo lakin hazimo kwenye hiyo list ya mauzo
Mkuu utawala wa roma si wa mchezo mchezoHuyo kaminywaa sio bure![]()
![]()
![]()

Hiyo 9 na 10 hapo sijaangalia bado afu sijui haya mauzo yanatokana na nini hasa mana kuna movie nyingi tu kali zaidi hizo lakin hazimo kwenye hiyo list ya mauzo
Alinyamazishwa na nani na kwa sababu zipi?1978 - Papa John Paulo wa Kwanza anafariki.
Ni papa aliyedumu kwa siku 33 tu.
Ni papa aliyetokea Nchini Italy.
Kabla ya kuchaguliwa kuwa Papa alikataa kabisa kudhika wadhifa huo, hivyo alilazimishwa.
Alijulikana kama " The smiling pope "
Kifo chake kinabaki kama moja ya vifo tata kuwahi kutokea Duniani.
Japo ripoti zinasema alikufa kwa ugonjwa wa moyo, lakini kuna wanaoamini Papa alinyamazishwa.
Roma nuksMkuu utawala wa roma si wa mchezo mchezo![]()
Na iliyofuatia ni Ghana kupata uhuru.Mkuu bora we hata uko vizuri mi huko kwenye history ndo nashika mkia![]()
Bado nakumbuka aisee

Mimi movie zangu bora kabisa zilizotoka mwaka uliopita(2015) ni Kingsman & Mad max
labda zinaanzia 11.....
Tanzania niya ngapi?Na iliyofuatia ni Ghana kupata uhuru.
Bado nakumbuka aisee
![]()
![]()
![]()
![]()
Duuh...Mwezi ambao Simba ufungwafungwa na Yanga
Ungeongezea tu na kifo cha Simba
![]()
![]()
.........
Apumzike kwa amaniKweli ni black September, Shimoni Peres ameaga Dunia