Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Leo ni siku ya misiba.
Leo ni siku ya misiba.
2009 - Guillermo Endara anafariki.
Ni rais wa zamani wa Panama.
Siku huwa hazifanani
HBD young1977 - Young Jeezy anazaliwa.
Ni rapa wa muziki wa Hiphop toka nchini Marekani.
Alitamba na kibao chake cha " My president is black " alichomwimbia Obama mwaka 2008
1988 - WEMA SEPETU anazaliwa.
Ni miss Tanzania wa zamani na msanii wa filamu toka nchini Tanzania.
Mh!!! Leo vifo tu!Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Magufuli, tukutane tena kesho.
Birthday kwa watu wawili tu??? Mh!!!1988 - WEMA SEPETU anazaliwa.
Ni miss Tanzania wa zamani na msanii wa filamu toka nchini Tanzania.

Black SeptemberMh!!! Leo vifo tu!
Mwezi ambao Simba ufungwafungwa na YangaBlack September
Dem Wang ameamua tuachane kasema kila alicho nipa nimrudixhie na kila nilichompa anirudixhie anaringa anajua sijawahi hata kumpa pipi kijiti sasa nimemwita geto aje anipe kiss zangu zote na denda zangu nilizo mpaa amelala mpaka asubuh eti anasema zilikua hasirasitaki ujinga mm

Umetisha kwa kuporomosha mavituJe Wajua?
MUVI 10 ZILIZOUZWA ZAIDI DUNIANI
1-AVATAR(2009)
2-TITANIC(1997)
3-MARVEL'S THE AVENGERS(2012)
4-HARRY POTTER AND THE DEATHLY HALLOWS(2011)
5-TRANSFORMERS;dark of the MOON(2011)
6-THE LORD OF RINGS:Return of the KING(2003).
7-SKYFALL(2012).
8-THE DARK KNIGHT RISES(2012).
9-PIRRATES OF CALLIBBEAN;dead Man's CHEST(2006)
10-TOY STORY(2010)-part 3.
@The Book wa Makapuku.
kama zipo mseme nifute!!
Thenksi wanguView attachment 408088View attachment 408089View attachment 408091
Kutoka katika uchambuzi wa magazeti sina la ziada
Asante sana briz kwa kusababisha asubuhi ya Leo
Naitwa Jimena Jimenes
Ciao



Hahaha duh! Hii ni kupatwa kwa wajingaLeo katika Historia:
Ni siku ya kumuuliza swali mjinga huko nchini Marekani
Mkuu bora we hata uko vizuri mi huko kwenye history ndo nashika mkiaNadhani misri ndo wa kwanza kupata uhuru katka bara la Africa kamasijakosea.
History kizunguzungu

