Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Hii kali naona lugha gongana
Hii kali naona lugha gongana
Huyu Bokassa alikuwa nomaaLeo katika Historia Orijino:
1979 - Kunatokea mapinduzi ya Kijeshi nchini Afrika ya Kati na kuuondoa utawala wa Bokassa wa Kwanza.
Marekani wataisoma1984 - Bomu lililotegwa katika Ubalozi wa Marekani huko Beirut nchini Lebanon lalipuka na kuua watu 22.
Na hawatowafahamu.2000 - Jengo la Shirika la Ujasusi la Nchini Uingereza ( MI6 ) lashambuliwa na watu ambao mpaka leo hawajajulikana.
September 11 iliwaweza2001 - Rais George W. Bush wa Marekani analitangazia bunge la nchi hiyo juu ya vita dhidi ya Ugaidi baada ya shambulio la kigaidi la September 11.
Shwari, adje?Habari za humu ndani
Vipaji hivyo mweeeeee1967 - Mapacha Gunnar Nelson na Matthew Nelson Wanazaliwa.
Ni wanamuziki toka nchini Marekani.
Thanks mwenye chair.Leo Katika Historia Orijino:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mzee wa Mapichapicha a.k.a Kubwa lao tukutane tena Kesho.
Bye
Adje sijaelewaShwari, adje?
Aaah nimecheka et malaika asiyejaribiwa!!Karibu sana, kasome page no 3




Malaika aishie dunianiMmmh hii forum ya makapuku ina mambo mazuri sana, itabidi nihamie huku maana kule habari kuu ni malaika asiyejaribiwa tu, mambo yote yapo huku






Hayupo tena.Jamani shezni yupo mbona huwa simuoni
Szczesny
Kama wewe ni binti utapata tu...subiri uone.Mkuu nimehamia kabisa, mnitafutie na mchumba, najua humu kuna mabinti makapuku kama mimi
Kwanini umsakizie Werrason wakati we mwenyewe uko singoChukua huyu werrason naye anatafuta, usiogope jina
Kama wewe ni binti utapata tu...subiri uone.
