Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.

Binti wa Kizungu: Baby you look nice and fresh.

Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mhhhh si ulisema mabinti wenzangu? nkajua we ni dada...lakini mbona humu wanakuja wanaume tu!!!??[emoji15][emoji15][emoji15]. Bitoz badili jina nakwambia wadada wamwagike humu hiyo Kapuku inawatisha mabinti nilisema mimi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha makonda aliposema wamachinga hawajamuelewa JPM
 
Back
Top Bottom