MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Hahahahaha mkuu kwenye forum ya makapuku nilikuwa napita tu ila leo nimehamia rasmiSiyo mgeni kivile
..............
Hahahahaha mkuu kwenye forum ya makapuku nilikuwa napita tu ila leo nimehamia rasmiSiyo mgeni kivile
..............
Chukua huyu werrason naye anatafuta, usiogope jinaMkuu nimehamia kabisa, mnitafutie na mchumba, najua humu kuna mabinti makapuku kama mimi
Dah!!! Ashasepaga long time na aliaga kabisa [emoji15]Jamani shezni yupo mbona huwa simuoni
Szczesny
Haya karibuHahahahaha mkuu kwenye forum ya makapuku nilikuwa napita tu ila leo nimehamia rasmi
Oui PapaaPoa papaa itabidi nianze kuongozana nae [emoji4][emoji4]
[emoji40]Asili yao Congo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
Bwahahahahahaaa[emoji13]Chukua huyu werrason naye anatafuta, usiogope jina
Kausha wewe alaa[emoji87] [emoji61]Bwahahahahahaaa[emoji13]
Af Veevee ntakuzingua dk. 0Chukua huyu werrason naye anatafuta, usiogope jina
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]Af Veevee ntakuzingua dk. 0
Unataka kutuambia umekosa kabisa mchumba kule jukwaa pendwa?Mkuu nimehamia kabisa, mnitafutie na mchumba, najua humu kuna mabinti makapuku kama mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chukua huyu werrason naye anatafuta, usiogope jina
Dah!!! Ashasepaga long time na aliaga kabisa [emoji15]
Briz mith uu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alisema haingii JF kabisa[emoji25]Du kumbe mi nkajua anaingia kwa kuvizia
Hahahahaha najiona kama ng'ombe aliyekatwa mkia na kuingia zizini, ng'ombe wenye mikia wanabaki wanamshangaa hahahahahaha, Asante mkuuHata karibu
Hapa ni kujichanganya tu
Kuku mgeni hakosi kamba mguuni
No shobo
No ufagio
.................
Me too, mishe vp kaka?Briz mith uu
Vp mbona umecheka sanaBwahahahahahaaa[emoji13]
Mkuu jina limenitishaChukua huyu werrason naye anatafuta, usiogope jina