Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Niko poa sana Ankali sijui wewe?Asante sana Ankali, uko poa lakini
Niko poa sana Ankali sijui wewe?Asante sana Ankali, uko poa lakini
Niko poa kabisaNiko poa sana Ankali sijui wewe?
Nambie mama lakeMutu ya kongo

Ahsante sana JJ.View attachment 403356View attachment 403357
Naitwa Jimena Jimenes na nakusanya kila kilicho changu ili niweze kumpisha Mussolin5 aje kutupa Leo katika historia orijino
Kwa udhamini wake briz nawatakia siku njema
Ciao
Leo katika Historia Orijino:
1979 - Kunatokea mapinduzi ya Kijeshi nchini Afrika ya Kati na kuuondoa utawala wa Bokassa wa Kwanza.
Udhaifu wa hali ya juu sana, kutowatambua walipuaji2000 - Jengo la Shirika la Ujasusi la Nchini Uingereza ( MI6 ) lashambuliwa na watu ambao mpaka leo hawajajulikana.
1984 - Bomu lililotegwa katika Ubalozi wa Marekani huko Beirut nchini Lebanon lalipuka na kuua watu 22.
2000 - Jengo la Shirika la Ujasusi la Nchini Uingereza ( MI6 ) lashambuliwa na watu ambao mpaka leo hawajajulikana.
2001 - Rais George W. Bush wa Marekani analitangazia bunge la nchi hiyo juu ya vita dhidi ya Ugaidi baada ya shambulio la kigaidi la September 11.
High Class Criminals sio mabwege ni watu na taaluma zao za kihalifu hivyo walijipanga sio km majambazi mbumbumbu wa BongolandUdhaifu wa hali ya juu sana, kutowatambua walipuaji