Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,632
[emoji35] [emoji35] [emoji35][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji35] [emoji35] [emoji35][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaanisha niaje yaani vipi?Adje sijaelewa
Ewaaah!!![emoji122] [emoji122] [emoji122]Kwanini umsakizie Werrason wakati we mwenyewe uko singo
HahahaDah!!! ndio maana huwa siangalii bongo movie,eti kuna kipande MTU anawaza miaka 10 iliyopita alaf kwenye ukuta kuna picha ya rais Magufuli[emoji38][emoji23][emoji38][emoji23]
Sipendi mambo ya kijinga mimi!!![emoji35]
Sasa Mkwepa kodi...ongea vizuri na Quigley.Mkuu nilikuwa na njaa sana
Hata mimi sijaelewaAdje sijaelewa
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanzoni nilikuwa namuunga mkono sana malaika ila baadaye alipoanza kukandamiza upinzani na Kufuta bunge live nikachenji, sasa nataka kubadili niwe mlipa kodi
Ili anitafutie mchumba Kapuku mwenzangu?Sasa Mkwepa kodi...ongea vizuri na Quigley.
Cc: JimenaImebaki nafasi ya bia baadaye
Kazi ya usalama muachie Sacajo...[emoji23][emoji23] ndio tuliyo mu asignia humu.Usiogope nipo kukuhakishia usalama
Mambo ni aje Chalyangu???[emoji23] that's what I meantAdje sijaelewa
Mke kuibiwa rahisi sana kuliko gari tena waweza usigundueGari ya million 50 unalaza nje lakini mke mahari laki tisa unalalanaye ndani Si uendawazimu huo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni mfyatuaji wa kiumeKama wewe ni binti utapata tu...subiri uone.
[quote uid=344537 name="nsekwa" post=17714770]Adje sijaelewa[/QUOTE]<br />Mambo ni aje Chalyangu???[emoji23] that's what I meantHata mimi sijaelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni mfyatuaji wa kiume
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mambo ni aje Chalyangu???[emoji23] that's what I meant
Jimena ni memba mwenzangu wa kitwanga?Cc: Jimena
Labda huwezi jua.Unataka kutuambia umekosa kabisa mchumba kule jukwaa pendwa?
Huu ni ukweli mtupuMke kuibiwa rahisi sana kuliko gari tena waweza usigundue