Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Tetesi zinasema ni wao wenyewe ndio wahusika kuna ushahidi ulipotezwa.Udhaifu wa hali ya juu sana, kutowatambua walipuaji
Tetesi zinasema ni wao wenyewe ndio wahusika kuna ushahidi ulipotezwa.Udhaifu wa hali ya juu sana, kutowatambua walipuaji
A.K.A mvuvi wa kambaleLeo Katika Historia Orijino:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mzee wa Mapichapicha a.k.a Kubwa lao tukutane tena Kesho.
Bye
Hapo sawaTetesi zinasema ni wao wenyewe ndio wahusika kuna ushahidi ulipotezwa.
Asante sana mkuu mussolin kwa leo katika historia murua kabisaLeo Katika Historia Orijino:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mzee wa Mapichapicha a.k.a Kubwa lao tukutane tena Kesho.
Bye
1940 - Taro Aso anazaliwa.
Alikiwa ni Waziri Mkuu wa 92 wa Japan.
Hao usiwaamini sana
hahaha...aka Mkulima wa mapapaiA.K.A mvuvi wa kambale
Pamoja MkuuAsante sana mkuu mussolin kwa leo katika historia murua kabisa
1948 - Mapacha Chuck Panozzo na John Panozzo wanazaliwa.
Ni wapiga drum toka nchini Marekani.
Haaaahaaaa kumbe anavitega uchumi vingihahaha...aka Mkulima wa mapapai
1967 - Mapacha Gunnar Nelson na Matthew Nelson Wanazaliwa.
Ni wanamuziki toka nchini Marekani.
1993 - Julian Draxler anazaliwa.
Ni kiungo wa Wolfsburg na timu ya taifa ya Ujerumani.
Mimi ni dogoLeo Katika Historia Orijino:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mzee wa Mapichapicha a.k.a Kubwa lao tukutane tena Kesho.
Bye
Hafi njaaHaaaahaaaa kumbe anavitega uchumi vingi
Kweli mkuu, leo ni siku ya mapacha!
Namkubali sana! Namba 10 ya hatari
Siyo Rooney maandaziNamkubali sana! Namba 10 ya hatari
Nyakati zake ziko ukingoniSiyo Rooney maandazi
![]()
![]()
![]()
...........