Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Sawa Mzee wa navy ya MabiboMimi ni dogo
Sawa Bakassa?
![]()
![]()
![]()
.........
Sawa Mzee wa navy ya MabiboMimi ni dogo
Sawa Bakassa?
![]()
![]()
![]()
.........
Na kwako piaAsubuhi njema kwenu makapuku nyote
Karibu sana, kasome page no 3Mmmh hii forum ya makapuku ina mambo mazuri sana, itabidi nihamie huku maana kule habari kuu ni malaika asiyejaribiwa tu, mambo yote yapo huku
Fundi1993 - Julian Draxler anazaliwa.
Ni kiungo wa Wolfsburg na timu ya taifa ya Ujerumani.
Niaje kipenzi? Nakumiss mno lakini wiki hii niko taiti sanaView attachment 403356View attachment 403357
Naitwa Jimena Jimenes na nakusanya kila kilicho changu ili niweze kumpisha Mussolin5 aje kutupa Leo katika historia orijino
Kwa udhamini wake briz nawatakia siku njema
Ciao
Mbona pozi mchele mchele!!!
Mambo Sukarii....naona Sherii namutafuta wewe Papaa, nenda naemambo ni vipi papaa?

Nipo ankali sema mishe tu zinabana, kwema lakini?Kweli ameadimika sana
Sawa mkuuKaribu sana, kasome page no 3
Asante bepari kwa historiaLeo Katika Historia Orijino:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mzee wa Mapichapicha a.k.a Kubwa lao tukutane tena Kesho.
Bye
Mmmh hii forum ya makapuku ina mambo mazuri sana, itabidi nihamie huku maana kule habari kuu ni malaika asiyejaribiwa tu, mambo yote yapo huku





dah! eti malaika asiyejaribiwa...Poa papaa itabidi nianze kuongozana naeMambo Sukarii....naona Sherii namutafuta wewe Papaa, nenda nae![]()


Acheni dharau jamaniSawa Mzee wa navy ya Mabibo
Siyo mgeni kivileKaribu sana, kasome page no 3
Mkuu nimehamia kabisa, mnitafutie na mchumba, najua humu kuna mabinti makapuku kama mimiMkwepa kodi katumbukia huku
Ww si unashinda Polifix ForumJamani shezni yupo mbona huwa simuoni
Szczesny