Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
Bila shaka kuna wazo lilikusukuma kufanya hivyo...hebu sema kilichokusukuma kutoka na ID hiyo mkuu
Mwanzoni nilikuwa namuunga mkono sana malaika ila baadaye alipoanza kukandamiza upinzani na Kufuta bunge live nikachenji, sasa nataka kubadili niwe mlipa kodi
 
flag

flag
Amen....[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom