sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Bora umebadili Avatar umemtoa yule kiduku
kunasiku ilinitisha me mwenyewe
nimeona bora niitoeBora umebadili Avatar umemtoa yule kiduku
kunasiku ilinitisha me mwenyewe
nimeona bora niitoeGANDHI wapo wengi siyo Mahatma Gandhi tu kuna Indira Gandhi n.k hivyo samtaimu ukikutana na neno Gandhi haina maana ya MahatmaKuna hadi mitaa inaitwa Gandhi...duuuh wahindi hawatomsahau huyu.
Tuheshimiane
Mi nina taaluma yangu usinipakazie ualimu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.............
acha kukimbia kipaji chakooSawa Kamanda MP (Mpika Pilau)![]()
![]()
acha kukimbia kipaji chakoo
Uuuwiiiiiiiiiiii mpeleke akawe msukule wa kuvua samakiiiNilijisikia kukugeuza farasi ili nikupande
![]()
![]()
![]()
.........

Walikuwa kwenye harusi,Umeme tatizo![]()
![]()
Mwenyewe kapendaza kweliBora umebadili Avatar umemtoa yule kiduku
Sawa Kamanda MP (Mpika Pilau)
![]()
![]()
![]()
............
Ujue nyie walimu mnamatatizo sanaa......ndio maana tunawapiga mabutii

Kumbee......bwana harusi naona bado anakula honeymoonWalikuwa kwenye harusi,
Inawezekana huko ulienda kimakosa, ila ualimu ndiyo ilikuwa karama yako kabisaTuheshimiane
Mi nina taaluma yangu usinipakazie ualimu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.............
Mkuu unajua kugive up jambo flani hapa jf haina maana kwamba umeshidwa ama umeshinda,...lakini utakuwa umeonesha dalili za udhaifu....kukubali kunyamazishwa na tambwe za watu wachache ni jambo la hatari sana! hasa kama hiyo spirit ya kugwaya hao ma bullers itaendelea hadi kwenye maisha ya kawaida.Nimegundua hata mimi naweza kuanzisha mada Jukwaa la Intelligent kwa kukopi tu kitabu
Tatizo siyo mkongwe hivyo nitashambuliwa sana lakini kuna Wakongwe vichwa box kibao kule wanaandika uongo/upupu lakini KAMWE HAWAPINGWI
Hii inasababisha vichwa vipya vilipotezee Jukwaa
.............
Maukale atamaliza unga tu wakusongea ugaliUuuwiiiiiiiiiiii mpeleke akawe msukule wa kuvua samakiii
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Du unajiogopa mwenyewe, hii hatari basi![]()
kunasiku ilinitisha me mwenyewe
![]()
nimeona bora niitoe
MP inamaana nyingi sanaSawa Kamanda MP (Mpika Pilau)
![]()
![]()
![]()
............
Kweli kabisaaInawezekana huko ulienda kimakosa, ila ualimu ndiyo ilikuwa karama yako kabisa
Ndio maana nimeamua kubadili avatarDu unajiogopa mwenyewe, hii hatari basi
Mwenyewe anajuaKweli kabisaa
Tatizo bitoz anajua maana moja tuuMP inamaana nyingi sana
Ameforce kipajiMwenyewe anajua