Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Mkuu unajua kugive up jambo flani hapa jf haina maana kwamba umeshidwa ama umeshinda,...lakini utakuwa umeonesha dalili za udhaifu....kukubali kunyamazishwa na tambwe za watu wachache ni jambo la hatari sana! hasa kama hiyo spirit ya kugwaya hao ma bullers itaendelea hadi kwenye maisha ya kawaida.
Maadam unafuata sheria zote za jf, nadhani upo huru kutoa mawazo yako bila kujali aina ya jukwaa ulilozoea....kuna watu watakuja kukukashifu kuona kama utatokwa povu, watu wa hivyo ni kuwapotezea tu kinyume na hapo ni ban....hamna member mwenye haki ya kuamua ni mada ya nani ina maana zaidi ya nyingine, tofauti na hapo ni cyber bulling.
Watoa povu wa Jf nilishawazoea kitambo sana hivyo hawawezi kunisumbua.....nilitoa tu mfano
Mimi tayari najua changamoto zote JF na udhaifu wa baadhi ya majukwaa hivyo nikiamua kuanzisha mada naweza lakini sijajisikia tu kufanya hivyo ndio maana tangu KF ianze nimetoa thread 2 tu (sijaishiwa vya kuandika bali nimeamua tu)
............
